Swaga za kina Mbasha nazikubali...

Swaga za kina Mbasha nazikubali...

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,831
10436042_10152553648284339_9100020301038120842_n.jpg



Hapo wametoka Mahakamani...
 
Ningekuwa na binti tena wa kuoza ningempatia huyu Emma amuoe. Tena angekuwa ni mzuri wa sura na tabia kuliko Flora mwenyewe mzee wa umri kuliko Emma. Ninachukia sana mtu humtaki mume ondoka kauze tu na si kubambikiza kesi kubwa hivi.
 
Ah ah hizi kwenye hili swala mbona watu mnajipa uhakim kabla...mi naona kama mnamtetea sana huyu jamaa na kusahau kua mbele ya mkono wa sheria bado mkosaji ngoja hukumu ije hata suti atasahau
 
Huyu alikosa wanawake hadi akaoa yule mporipori kweli??

Dah... aisee, c unajua watoto wa shamba wakijuaga mji wanakuchenjia... bora angekamata moja ya sinza akaweka ndani
 
Huyo wa kulia ndio wakili wake? kama amebaka atakula mvua tu........
 
Kilichomkimbiza Gwajima nje ya nchi baada ya kuuza Hammer yake ni nini?
 
Kilichomkimbiza Gwajima nje ya nchi baada ya kuuza Hammer yake ni nini?

Gwajima hajakimbia nchi, jumapili iliyopita nilifika kanisani kwake, alikuwepo na hakuhubiria mbele, muda wote alitembea tembea kwa watu kwa zaidi ya masaa matatu!

Hapo nikaamini hakuna kilichosahihi kati ya yote ambayo yamekwisha andikwa kumhusu yeye. Tuliambiwa Mbasha kamshtaki kwa baraza la Maaskofu wa Kipentecoste, cha kushangaza badala ya maaskofu hao kumuwekea vizuizi ndio kwanza wiki iliyopita Pentecoste wametangaza kulitambua kanisa la Gwajima kama member wa Pentecoste

Mwenye akili na afahamu.
 
Wana asili ya Kongo? Amuulize Lulu alishindaje kesi.
 
JF bana , burudani tupu, lakini namtakia kijana Emma mafanikio na kesi yake.
Katendewa vibaya na li-Furora!
 
Back
Top Bottom