Suzuki Jimny 1.3L 2013 Vs Toyota IST 2007

NewGapi

JF-Expert Member
May 28, 2020
311
948
Habari za muda wakuu,

Naomba ushauri juu ya haya magari mawili. Lipi ninunue

1. SUZUKI JIMNY 2013 1.3L, manual transmission.
Hii gari ilinunuliwa mpya 0 km, hivyo usajili wake ni no. C. Ilikuwa ni ya shirika moja la kimataifa wao huuza gari likifika miaka 7 au km 70,000 mileage. Hivyo nina uhakika na historia ya service kwani ilikuwa inafanyiwa kwa uhakika na garage reputable hapa mjini, na haikuwa na safari za nje ya mji, trip zake ilikuwa Masaki to Posta tu.

Na inauzwa below 10m.

2. Niagize IST ya mwaka 2007 kutoka Japan nitafute mtandaoni.

Naomba ushauri,

Nb. Me ni mkazi wa Dar es salaam.


2013_suzuki_jimny.jpg


Nawasilisha.
 
Mataputapu vipi?

Advantage ya IST ni nafasi ndani na kuwa na milango mi4.

Jimny space ya abiria na swala la kupishana kupanda na kushuka.
Suzuki jimmy ni very powerful mini SUV car with very good fuel economy ambayo unaweza kwenda nayo popote bila presha wakati IST ni ka hatchbacks ambacho kinafanana na mtoto wa kitimoto.

Hizo hasara za Suzuki Jimmy za kupishana kushuka na kupanda ni negligible na haziwezi kuifanya IST iwe bora!

Halafu pia Suzuki Jimmy ni very durable compare na IST,yaani Suzuki Jimmy ni chuma kwelikweli.
 
Mkuu angalia ww unatak nn? Kama unafamilia IST ni bora ila kama huna chukua icho kizuzuk kama mtu uliestaafu vile.kwa ufupi IST is more classic than io gari ya shamba .uwa wananunua wastaafu kwa ajili ya kubebea majani ya ng’0mbe
 
Jimny inakuwa kama gari ya mstaafu kama ww ni kijana utaonekana unaendesha gari ya urithi. Kama huna changamoto ya barabara mbovu sana kuingilia nyumbani chukua IST ni open check unauza mda wowote. Jimny ni ya kizee ya kishamba yani hiviii huwezi kuwa mjanja ukanunua jimny. Labda hzi new model za juzi kati hapa.
 
Jimny inakuwa kama gari ya mstaafu kama ww ni kijana utaonekana unaendesha gari ya urithi. Kama huna changamoto ya barabara mbovu sana kuingilia nyumbani chukua IST ni open check unauza mda wowote. Jimny ni ya kizee ya kishamba yani hiviii huwezi kuwa mjanja ukanunua jimny. Labda hzi new model za juzi kati hapa.
Sifikirii kuuza, nimeipenda sababu ni manual, i love manual cars.

But nafikiria kununua na Sedan pia, ili kwenda sawa na mahitaji.
 
Nimeamua kuchukua,

Nitaongeza VW Passat kwa ajili ya mambo mengine later this year au mwakani, nikiwa na familia.
Chukua Suzuki Jimny
Baadaye Utanishukuru
Nimetumia Hiyo Chuma Kasulu Miaka Ya 2009
Iko Sawa Sawa Inapita Barabara Korofi Mno
Ukiweka Kidonge Haikwami Popote Nyakati Za Mvua Nyingi Sana.
Ilikuwa Manual Yaani 😃😂😄Hii Bhaghosha
 
Back
Top Bottom