A Ados Senior Member Feb 26, 2011 117 20 Apr 28, 2012 #1 Natafuta suzuki jimmy yakununua iliyo katika hali nzuri aliyonayo anijuze nipe bei
M moghaka JF-Expert Member May 16, 2011 252 143 Apr 28, 2012 #3 Ninanayo kama mpya ina miezi minne tu Reg NO. T 000 BUA niko kariakoo ni PM uje tuongee
Kibirizi JF-Expert Member Feb 19, 2011 604 146 Apr 29, 2012 #4 Haloo hizo gari ni ghali sijawahi ona yaani ukiziona hazifanana na bei yake, ila kuna ya cc 1300 na cc 640 ukipata ni vzr sana kwa ulaji wa mafuta.
Haloo hizo gari ni ghali sijawahi ona yaani ukiziona hazifanana na bei yake, ila kuna ya cc 1300 na cc 640 ukipata ni vzr sana kwa ulaji wa mafuta.
M moghaka JF-Expert Member May 16, 2011 252 143 Apr 29, 2012 #5 Mbona yangu ni cc 543 tu hapa jijini dar zunguka yote na foleni inakula 1 ltr kwa 18 km wastani
jino kwa jino JF-Expert Member Nov 3, 2010 783 170 Apr 30, 2012 #6 moghaka said: Ninanayo kama mpya ina miezi minne tu Reg NO. T 000 BUA niko kariakoo ni PM uje tuongee Click to expand... mkuu siyo lazima anunue yeye weka details hapa mwingine anaweza akashawishika
moghaka said: Ninanayo kama mpya ina miezi minne tu Reg NO. T 000 BUA niko kariakoo ni PM uje tuongee Click to expand... mkuu siyo lazima anunue yeye weka details hapa mwingine anaweza akashawishika