Suzuki jimmy yakununua

Ados

Senior Member
Feb 26, 2011
117
20
Natafuta suzuki jimmy yakununua iliyo katika hali nzuri aliyonayo anijuze nipe bei
 
Ninanayo kama mpya ina miezi minne tu Reg NO. T 000 BUA niko kariakoo ni PM uje tuongee
 
Haloo hizo gari ni ghali sijawahi ona yaani ukiziona hazifanana na bei yake, ila kuna ya cc 1300 na cc 640 ukipata ni vzr sana kwa ulaji wa mafuta.
 
Mbona yangu ni cc 543 tu hapa jijini dar zunguka yote na foleni inakula 1 ltr kwa 18 km wastani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom