SUZUKI ESCUDO...5 DOORS...MWAKA 98 au 99 INAHITAJIKA

SUZUKI ESCUDO...5 DOORS...MWAKA 98 au 99 INAHITAJIKA

Danny Massawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,299
Reaction score
765
Nawasalimu nyote,
Nimewahi weka uzi wa kuomba ushauri wa gari ambayo inafaa safari ndefu na kuhimili njia korofi. nikashauriwa nitafute rav 4 au escudo, nimejaribu rav 4 kwa bajeti yangu ya 7M nimekosa ambayo iko kwenye hali nzuri. sasa natafuta escudo ya milango 5 ambayo iko kwenye hali nzuri bajeti ni hiyo 7M. MAWASILIANO 0754833473,dani1godwin@yahoo.com.........picha ni muhimu
 
Ndugu ipo Toyota raum iko kwenye hali nzuri labda Ina hitaji marekebisho kidogo kwenye ingine ,Bei yake mil.5 mpaka 45 Kama uko tayari niweke picha tufanye biashara.Au piga Sim no:0753-882205 Niko dar.
 
Back
Top Bottom