Suv nzuri na bei rahisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suv nzuri na bei rahisi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by C.T.U, Dec 3, 2011.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  wakuu habari zenu??
  Wakuu kuna mtu ninayefanya naye kazi alikuwa anataka kununua suv yeyote nzuri ila kwa bei rahisi sasa alikuja kuniuliza nimshauri anunue nini ila nikasema ngoja niilete kwa wana forum kwa sababu nina amini hapa atapata ufumbuzi
  so wakuu swali langu ni suv gani ni nzuri na atapata kwa bei rahisi??
   
 2. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  RAV4 Kibao.
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Honda CR.., CV ..
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nissan X-trail kama msuli anao
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nadhani inabidi yeye atuambie kwanza choice zake, this is too wide atapata majibu 1000 from different people na atapata shida kuchagua pia. kawaida mtu anayetaka kununua chochote huwa tayari ana kitu anafikiria kichwani halafu anatafuta ushauri ili kuondoa doubts zake.
  Asante
   
 6. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mwambie anunue Rav 4, Ina 4wd, spare zimejaa, mafundi kila kona... na very nice car... huko kungine atakuja kujuta bure na kama alinunua kwa ushauri wako basi jiandae kwa lawama....
  Magari yanataka umakini sana, ukikosea hata kuuzika mengine hayauziki... Hapa mjini wanayaita ndoa za kikristu...
   
Loading...