Sir_Mimi JF-Expert Member Jun 21, 2013 7,172 15,725 Jan 31, 2017 #2 Duh kashonea kitambaa cha pazia tena pazia za kichina ila mazingira yanavyoonekana hapo alipo anaonekana mjanja yeye.
Duh kashonea kitambaa cha pazia tena pazia za kichina ila mazingira yanavyoonekana hapo alipo anaonekana mjanja yeye.
O option JF-Expert Member Jan 15, 2013 2,027 1,494 Jan 31, 2017 Thread starter #4 Hahahaha hiyo kitambaa ni kutoka italy
O option JF-Expert Member Jan 15, 2013 2,027 1,494 Jan 31, 2017 Thread starter #5 mshipa said: Tukuyu moja hyo Click to expand... Kwamba wanyakyusa wapo hivo?
UHURU JR JF-Expert Member Jul 24, 2014 16,366 7,713 Jan 31, 2017 #6 Ebwana kulikuwa na picha ya binti aliyevaa gauni lililoshonewa na pazia kama hilo.
robert sendabishaka JF-Expert Member Dec 11, 2015 3,084 3,258 Jan 31, 2017 #7 UHURU JR said: Ebwana kulikuwa na picha ya binti aliyevaa gauni lililoshonewa na pazia kama hilo. Click to expand... mtindo wa pekee
UHURU JR said: Ebwana kulikuwa na picha ya binti aliyevaa gauni lililoshonewa na pazia kama hilo. Click to expand... mtindo wa pekee
Blank page JF-Expert Member May 28, 2015 5,213 4,328 Jan 31, 2017 #8 mshipa said: Tukuyu moja hyo Click to expand... hahahah.....
Blank page JF-Expert Member May 28, 2015 5,213 4,328 Jan 31, 2017 #9 option said: Kwamba wanyakyusa wapo hivo? Click to expand... ...teh
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,720 215,778 Jan 31, 2017 #11 Inawezekana ni majirani zetu wa kule DRC.
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,561 48,230 Feb 1, 2017 #17 Waweza kuta kagharamia Pesa chungu mzima
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Feb 1, 2017 #19 Najua kabila la huyu bwana. Ila mmmh sina M 7
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 947 1,353 Feb 1, 2017 #20 Mabega yake hayajapishana sana na curtain box