Susuki carry

Susuki carry

Duh, asante kwa ushauri.
Mpaka sasa siamini cha AON (Jubilee Insurance) wala EAGLE INSURANCE.
Kwa nini?
By assuming that there are only, and only two Insurance companies, he probability of AON (Jubilee Insurance) being the right choice is 0.5 and Eagle Insurance is 0.5; the probability that EITHER AON (Jubilee Insurance) OR Eagle Insurance being the right choice is 1 (POSSIBILITY OF THIS EVENT OCCURRING IS VERY LIKELY - ABSOLUTELY POSSIBLE).
However, the probability of both AON (Jubilee Insurance) & Eagle Insurance being the right choice (which is this case) is dramatically reduced to 0.25 (POSSIBILITY OF THIS EVENT OCCURRING IS UNLIKELY)

Conclusion: Nahitaji (third + n) suggestion.

Mmmh! Nawasikitikia watu waliokuwa wankuelekeza kila kitu unachouliza wakati info ziko nyingi, na hakuna hata ushauri mmoja ulioufanyoa kazi lakini waliendelea kukusaidia.

Hongera.
 
Mmmh! Nawasikitikia watu waliokuwa wankuelekeza kila kitu unachouliza wakati info ziko nyingi, na hakuna hata ushauri mmoja ulioufanyoa kazi lakini waliendelea kukusaidia.

Hongera.
Kinigini, mi' nimewashukuru wote hapo juu, pamoja na wewe.
Hofu yangu ni: Nichague ipi sasa?
Mfano unauliza: Ni shule gani bora kwa elimu na malezi ya mtoto (chekechea na shule ya msingi)?
Ukajibiwa: Tusiime.
Mara, mwingine anasema: Mount Everest (Tusiime siyo nzuri).

Ukiwa nd'o wewe utampeleka mwanao shule gani? Au nd'o utaenda kuuliza ktk hizo shule kuthibitisha kama kinachosemwa ni kweli? Na ukifika utauliza maswali gani ili kuthibitisha?
 
Mkuu kuna ndugu yangu anavyo 2 vyote ni Hijet,cha kwanza alichukua show room for 7 it was last year June cha pili aliagiza this year na mpaka anakitoa bandarini ilikula 5.5M
 
Chukua tu suzuki kerry alafu sikuizi wametoa na tipa zake za kubebea mchanga
 
AON, ofisini kwetu gari zote ziko insurance AON, na hata pia kama kuna safari za wafayakazi tumekata AON


regards

fredwash
 
Back
Top Bottom