Punguza ukali wa maneno mkuu...kama ungetaka watu waje PM ungewaita mmoja mmoja na sio kubandika tangazo mbele ya kadamnasi halafu hutaki kutoa full inf. ya address yako
Kama kweli unafanya biashara sioni ugumu wa kutaja unapopatikana kwa kuwa wengine hatuwezi nunua bila kujaribu
Mwezi uliopita niliagiza suruari ya size 32 KAYMU nikaletewa inayoendana na size 30 japo iliandikwa size 32 ikabidi iwe mzozo kulipia hadi wakaniletea nyingine
Funguka unapatikana wapi watu waje hapo kwako wajipime size yao