Sura zetu hutuonea haya na kutusuta

Sura zetu hutuonea haya na kutusuta

Kuna wanasiasa wanashinda chaguzi lakini ukiwaangia nyuso na sura zao zimejawa na aibu na ukiwauliza kama uchaguzi alioshinda ni huru na haki.. ATAKUCHUKIA vibaya sana[emoji38]
 
Kuna wanandoa mahusiano yao yameshikiliwa na ndumba na ili kuua soo ukijaribu kuzungumzia hizo habari kwa macho makavu mno watakupinga mita mia lakini ukiwakazia macho utawaona wanakwepa kuangaliana nawe
 
Back
Top Bottom