mkosa shingo
Member
- Jan 26, 2021
- 93
- 127
[emoji1787]Sio wote, mm sura kabla ya nyeto ndio hy hy baada ya nyeto

Kuna ukweli mwingi sana hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanasema sura sio roho! Kumbe hivi ni vitu viwili tofauti ndani ya mamlaka moja.. Ndugu wasiopendana
Kuna watu hawapendi kabisa kujiangalia kwenye kioo.[emoji23] sura zao zinawasuta, zinaona aibu, zinaona soni
Wengine hawapendi kujiangalia wanapotoka kufanya jambo fulani baya.
. Sura ya kuingia gesti ni tofauti na sura ya kutoka gesti..lakini zote ni vigumu mno kujiangalia kwenye kioo
. Sura ya kutoka kujichua
. Sura ya kutoka kufumaniwa
. Sura ya kutoka kuchepuka
. Sura ya kutoka kuiba
. Sura ya kutoka kupiga chabo
. Sura ya kutoka kusutwa nk
Macho ndio indicator na kiwakilishi cha sura, mapambano ya kuficha uovu, ubaya, aibu macho yanahusika kwa asilimia 100. Adam alipokengeuka na mkewe pale Eden, Bwana Mungu mkuu akamuuliza Adam uko wapi? Akamwambia niko huku Bwana! Akaulizwa mbona leo umejificha? Akasema kwakuwa ni uchi.. Bwana Mungu akamuuliza umejuaje kwamba uko uchi!? [emoji23] Imagine kipindi hicho kungekuwa na vioo Adam angeweza kweli kujiangalia!?
Roho ndio asili ya yote mema na mabaya! Ufanyacho chochote ndicho hicho hicho roho itakileta nuruni kupitia macho.. Achana na mdomo huu hubabaika baada ya maswali lakini sura kupitia macho ndio huongea yote..
Uso kusawajika
Macho kushindwa kuwa imara unapotazamwa moja kwa moja
Sura kupauka ghafla
Midomo kucheza
Mate kukauka na meno kutoa jasho[emoji1787] hizo zote ni dalili za mashtaka ya roho na kuikana sura..
Kinachokusuta sio sura ni roho, sura ni kiambishi tu kwakuwa ndio inaonekana.. Unajaribu kukana uhalifu uliotenda lakini sura yako bila utashi wako lakini kwa amri ya roho inakukataa. ! Inakukana.. Unajikuta huna la kufanya zaidi ya kupepesa macho huku na kule...
Chukua kioo halafu ujiangalie sura yako kisha useme hivi kweli mimi ndio nimefanya vile..!?[emoji23] uone kama utahimili kujiangalia mara mbili
Wap nmemtusi na kuwakejel wngnMzoefu huna haya tena! Ndio maana huoni shida hata kutusi na kukejeli wengine, ni kwa vile roho na macho yako vimeshaunda urafiki
Duh umefananisha mzee, jaribu kuweka kumbukumbu zako vzrNikikumbuka nitakuambia ila mimi ni mmojawapo
Alitumia maji kujiona ndiyo maana dhamira ilimsutaImagine kipindi hicho kungekuwa na vioo Adam angeweza kweli kujiangalia!?
[emoji3][emoji3][emoji3]Nikikumbuka nitakuambia ila mimi ni mmojawapo
Kama kula tigoKuna mambo ukishamaliza kuyafanya huwezi kamwe kujitazama kwenye kioo[emoji2]
Mshana Jr nakuaminia.Wanasema sura sio roho! Kumbe hivi ni vitu viwili tofauti ndani ya mamlaka moja.. Ndugu wasiopendana
Kuna watu hawapendi kabisa kujiangalia kwenye kioo.[emoji23] sura zao zinawasuta, zinaona aibu, zinaona soni
Wengine hawapendi kujiangalia wanapotoka kufanya jambo fulani baya.
. Sura ya kuingia gesti ni tofauti na sura ya kutoka gesti..lakini zote ni vigumu mno kujiangalia kwenye kioo
. Sura ya kutoka kujichua
. Sura ya kutoka kufumaniwa
. Sura ya kutoka kuchepuka
. Sura ya kutoka kuiba
. Sura ya kutoka kupiga chabo
. Sura ya kutoka kusutwa nk
Macho ndio indicator na kiwakilishi cha sura, mapambano ya kuficha uovu, ubaya, aibu macho yanahusika kwa asilimia 100. Adam alipokengeuka na mkewe pale Eden, Bwana Mungu mkuu akamuuliza Adam uko wapi? Akamwambia niko huku Bwana! Akaulizwa mbona leo umejificha? Akasema kwakuwa ni uchi.. Bwana Mungu akamuuliza umejuaje kwamba uko uchi!? [emoji23] Imagine kipindi hicho kungekuwa na vioo Adam angeweza kweli kujiangalia!?
Roho ndio asili ya yote mema na mabaya! Ufanyacho chochote ndicho hicho hicho roho itakileta nuruni kupitia macho.. Achana na mdomo huu hubabaika baada ya maswali lakini sura kupitia macho ndio huongea yote..
Uso kusawajika
Macho kushindwa kuwa imara unapotazamwa moja kwa moja
Sura kupauka ghafla
Midomo kucheza
Mate kukauka na meno kutoa jasho[emoji1787] hizo zote ni dalili za mashtaka ya roho na kuikana sura..
Kinachokusuta sio sura ni roho, sura ni kiambishi tu kwakuwa ndio inaonekana.. Unajaribu kukana uhalifu uliotenda lakini sura yako bila utashi wako lakini kwa amri ya roho inakukataa. ! Inakukana.. Unajikuta huna la kufanya zaidi ya kupepesa macho huku na kule...
Chukua kioo halafu ujiangalie sura yako kisha useme hivi kweli mimi ndio nimefanya vile..!?[emoji23] uone kama utahimili kujiangalia mara mbili
Huyo lazima kipeuo