Sura za KUFA Mtu

Dah huyu jamaa kafanana na kaka angu balaa tofauti bro pua yake kubwa!
 
Mjombaa ake yule kiongozi wetu anayepayuka hovyo!!! Dah inatisha!! Ila sote twasema tu sura na mfano wa mwenyezi Mungu!!
 
Uyu anafaa kwenda mbuga zetu ikiwemo serengeti majangili akiwemo kinana awatazama msituni kuwaua tembo pia faru wetu
 
...hivi wewe Mbuzi Mzee unataka nikunjinje kabla ya krismasi eeh!?
Nani kakuambia uweke picha yangu humu?
...ngoja utakiona cha moto...ole wako "maduu" waning'ang'anie humu..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…