Sura za Huzuni tupu

Sura za Huzuni tupu

Aj5OjqzYyfAus0G6TlRQ3PZK35OfT6kpMqvG4VCIvvHa.jpg
 
ha ha ha,,,alikua anadai vijijini hakuna hoteli yenye hadhi yake,,,,kuna vigest tu
 
Nao pia ni watu na wanakuwa, wanajua kuwa kinachosababisha wanapata mlo mmoja kwa siku CCM ( tena mlo mmoja kwa shida). Wanaosababisha kukaa kwenye mawe na kwenye vumbi darasani ni CCM, wanaosababisha kukosekana kwa umeme ni CCM, maji ya shida CCM, maisha magumu ni CCM.
Sasa ulitegemea WATOTO wawapigie KURA? Kaa chini uisome namba ya Magufuli.
 
Back
Top Bottom