Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,099 Sep 30, 2010 #3 Mbona za zamani sana hizi? Cheki hizi walivyozeeka
Ntemi Kazwile JF-Expert Member May 14, 2010 2,182 307 Sep 30, 2010 #4 Kilavu anaonekana kama tapeli fulani hivi....you can't trust him with your most precious possession
SILENT WHISPER JF-Expert Member Jun 26, 2009 2,209 821 Sep 30, 2010 #5 yani hawa jamaa wanaomba usiku na mchana jamaa aliewateua asishindwe uchaguzi...! manake akishindwa tu, kabarua kinaota nyasi...! HAYA NI MWIBA SAANA KWA UPINZANI KUINGIA IKULU..! KUMBUKA KENYA...!
yani hawa jamaa wanaomba usiku na mchana jamaa aliewateua asishindwe uchaguzi...! manake akishindwa tu, kabarua kinaota nyasi...! HAYA NI MWIBA SAANA KWA UPINZANI KUINGIA IKULU..! KUMBUKA KENYA...!
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Aug 11, 2010 1,180 592 Sep 30, 2010 #6 SILENT WHISPER said: yani hawa jamaa wanaomba usiku na mchana jamaa aliewateua asishindwe uchaguzi...! manake akishindwa tu, kabarua kinaota nyasi...! HAYA NI MWIBA SAANA KWA UPINZANI KUINGIA IKULU..! KUMBUKA KENYA...! Click to expand... Wamechukizwa sana ccm kuwa chama DOLA,Wanaona kama wanachonganshwa na jamii
SILENT WHISPER said: yani hawa jamaa wanaomba usiku na mchana jamaa aliewateua asishindwe uchaguzi...! manake akishindwa tu, kabarua kinaota nyasi...! HAYA NI MWIBA SAANA KWA UPINZANI KUINGIA IKULU..! KUMBUKA KENYA...! Click to expand... Wamechukizwa sana ccm kuwa chama DOLA,Wanaona kama wanachonganshwa na jamii
Genekai R I P Feb 9, 2010 12,517 4,987 Sep 30, 2010 #7 Hii sura ya Kiravu inaonesha kutoruhusu wapinzani waingie madarakani!
Msanii Platinum Member Jul 4, 2007 22,637 29,808 Sep 30, 2010 #8 Kiravu ana sura ya mtu ambaye ni mshauri wa familia na ndoa yako kumbe pia anamtokea mamsap wako. HAAMINIKI Makame anaonekana kama mtu ambaye anasema wewe unajitia mjanja sasa kumbuka funguo za mlango nimezimeza mimi. KIGINGI
Kiravu ana sura ya mtu ambaye ni mshauri wa familia na ndoa yako kumbe pia anamtokea mamsap wako. HAAMINIKI Makame anaonekana kama mtu ambaye anasema wewe unajitia mjanja sasa kumbuka funguo za mlango nimezimeza mimi. KIGINGI
Kunta Kinte JF-Expert Member May 18, 2009 3,688 1,282 Oct 1, 2010 #9 Kiravu anaonekana kama tayari ameshajiandaa kwa shari dhidi ya wapinzani; yaani ile nini?!? utanifanya nini!!??
Kiravu anaonekana kama tayari ameshajiandaa kwa shari dhidi ya wapinzani; yaani ile nini?!? utanifanya nini!!??
The Dreamer JF-Expert Member Feb 2, 2009 1,282 20 Oct 1, 2010 #10 My take, wanaofanya kazi ni wengine (CCM) wao kutia mkono...I mean signature
Visenti JF-Expert Member Jul 24, 2008 1,025 327 Oct 1, 2010 #11 Ni wagombea wenye hasira kali na uchungu wa inji yetu, hawana mood ya kutabasamu, mpaka waingie ikulu
Ni wagombea wenye hasira kali na uchungu wa inji yetu, hawana mood ya kutabasamu, mpaka waingie ikulu