ustaarabu wa kwenu huo mkuu.ndio hivyo ulivyopatikana?
c unajirutubisha mkuu?
ustaarabu wa kwenu huo mkuu.ndio hivyo ulivyopatikana?
c unajirutubisha mkuu?
ndio wewe unavyojiburudishaga mkuu? Bora hata ungenishauri nikumiminie binti mrembo.
mh! nahisi kusinziaaaaaaa
Ni pm namba zako uje nikutandikie ulale kabisaa huku mimi nakumiminia ila usiwe kama huyo wa Arusha tafadhali.
usijari usngizi ushaniisha
Inamaanisha uliona na picha ya ta.ko ndio ukamzimia zaidi au sura tu?
picha aliifanyia usanii.
Daaaaaaah nilitaka kuuliza hvhv
Haya ni pm nikuongeze usingizi mwingine.
Wew labda si Arusha ulioenda, utakuwa umepasahau ulipoenda ww
atakuwa alienda manyara
Habari wana wa MMU,
Ndugu zangu usije ukampenda mtu kwenye picha kwa maana picha hudanganya sana.Baada ya kujuana na mrembo mmoja kupitia FB nami nikagharamika kumfuata kwao mkoa wa Arusha.
Nilichokikuta huko ikabidi miguu yote inyong'onyee! Mtu ana mtindi unaolingana na Tikiti maji zile za elfu 10 moja alafu kapigwa pasi kama Tv ya flat screen. Du! Jamani watoto wa kichaga mpo? Hongereni!
Sasa hali kama hiyo ndio husabahishwa na kupanda sana milima au baridi?
Ukooomee kutudanganyaaa. mpk unamfikia picha hamkupeana kama enzi zetu za barua? siku hizi kuna mpk wasap nayo hamkumalizana nayo.
koooomaaa kuja kutudanganya hapo
Hata hivyo nilifumba macho nikarudisha gharama zangu mpaka asubuhi mkuu kisha nikatimka.
Ogopa sana madem waopenda kupiga selfie tu. Wanaficha mengi
Kumbe pamoja na yote hayo bado ulimgegeda??? Mkuu ulitoka wapi mpaka kumfata arusha?
alafu mafuta tukamwagie wapi?