Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Habari wana wa MMU,
Ndugu zangu usije ukampenda mtu kwenye picha kwa maana picha hudanganya sana.Baada ya kujuana na mrembo mmoja kupitia FB nami nikagharamika kumfuata kwao mkoa wa Arusha.
Nilichokikuta huko ikabidi miguu yote inyong'onyee! Mtu ana mtindi unaolingana na Tikiti maji zile za elfu 10 moja alafu kapigwa pasi kama Tv ya flat screen. Du! Jamani watoto wa kichaga mpo? Hongereni!
Sasa hali kama hiyo ndio husabahishwa na kupanda sana milima au baridi?