Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
- #61
Mmezidi sana nyie wanaume.Mnapenda sana kutumiwa picha."eti nitumie picha yako kwenye fb au whatsapp"Hv unashindwa kufunga safari ukamuone live?ACHENI TABIA HIYO,MNABOA!
Na nyie acheni kufanya usanii kwenye picha.tumeni picha zenu halisi za maungo yenu