Sura yake ya kwenye Facebook ilinidanganya

Sura yake ya kwenye Facebook ilinidanganya

Habari wana wa MMU.Ndugu zangu usije ukampenda mtu kwenye picha kwa maana picha hudanganya sana.Baada ya kujuana na mrembo mmoja kupitia FB nami nikagharamika kumfwata kwao mkoa wa Arusha,nilichokikuta huko ikabidi miguu yote inyong'onyee! mtu ana mtindi unaolingana na Tikiti maji zile za elfu 10 moja alafu kapigwa pasi kama Tv ya flat screen.Du! Jamani watoto wa kichagga mpo? Hongereni! Sasa hali kama hiyo ndio husabahishwa na kupanda sana milima au baridi???

=Kumfata
 
Hahaha nene blackchyna....dah ni mbovuu yule manzi ...halafu pozi milioni ,, angalau hata mdogo wake Sarah kazuri ila kakibongee

pia sara hajisikii na anashape sijuwi katoa wapi maana mama yake hana...ila kablackchyna ni ovyooo nyonyo limetawala hadi tumboni usafiri mbovu..nyuma kapigwa msasa kilivelive ila kaangalie picha kwa page yake utazani hua anamiili miwili anavua na kuvaa
 
Albosignathus

Acha ujinga.Mwanaume unatafuta mwanamke kwenye mtandao.Ndio maana ukimwi unawamaliza vijana
 
Last edited by a moderator:
Umeingia choo cha wagiriki Mkuu


pole Sana Mr. Tongoza
 
Wew labda si Arusha ulioenda, utakuwa umepasahau ulipoenda ww
 
Mmezidi sana nyie wanaume.Mnapenda sana kutumiwa picha."eti nitumie picha yako kwenye fb au whatsapp"Hv unashindwa kufunga safari ukamuone live?ACHENI TABIA HIYO,MNABOA!
 
Du noma kweli! mkuu na mimi iliwah kunikuta nilimpata ktk meet24 aliweka picha ya mtu mwengne,kuja kuona naye face to face nilitaka kunya sinyi,mingurumo kibao na mijambo,nikamwambia samahani ngoja nipite toilet .mze mzima kuangalia kulia na kushoto nikanyatia taratibu km napiga chabo vile,nikasepa na ndipo nikamua kujitoa ktk meet24,hatari babu
 
Nilipenda nimkute na kiuno chembamba,maziwa size ya Embe Dodo,makalio size ya kati yale yanayotetemeka kwa mbali na kupitisha hewa katikati.
Wengi wanaopenda yote haya wenyewe wana sura ngumu ka zege kazi kusema vichuna vya watu! Wacheki dada zake basi na mama zake wadogo na shangazi zake ambao wanaume wengine wamewasitiri na flaws zao! Au ndo useme wanawake wa kwenu wazuri saaaana hawana mapungufu? Mbona wanaume zao wapo nao na matikiti maji yao vifuani...?!
 
pia sara hajisikii na anashape sijuwi katoa wapi maana mama yake hana...ila kablackchyna ni ovyooo nyonyo limetawala hadi tumboni usafiri mbovu..nyuma kapigwa msasa kilivelive ila kaangalie picha kwa page yake utazani hua anamiili miwili anavua na kuvaa

tarabu time.....!! ebu niekeweshe mkuu apo unaimba au una mchambua....mwana wa adamu..!!?
 
Back
Top Bottom