Sura yake ya kwenye Facebook ilinidanganya

Mkuu nakushauri Utongoze JF Achana na FB,Jf ni wa ukweli kaka,wao ni halisi kabisa,nenda "pm" tuuu utawakuta...
na hutojutaa..ukiona ambae hajaweka picha ya Mtu ana Avator ya kitu chochote ambacho sio picha ya Mtu anza nae huyooo,ujue hapendi fujo kwa ajili ya uzuri wake...

Mmh hili nalo neno..........Kumbe siri ya mtungi iko hapo mkuu
 
Mkuu nakushauri Utongoze JF Achana na FB,Jf ni wa ukweli kaka,wao ni halisi kabisa,nenda "pm" tuuu utawakuta...
na hutojutaa..ukiona ambae hajaweka picha ya Mtu ana Avator ya kitu chochote ambacho sio picha ya Mtu anza nae huyooo,ujue hapendi fujo kwa ajili ya uzuri wake...

Ahaaa kumbe ndio zenu mnawaza mgegedo tu
 
Nilipenda nimkute na kiuno chembamba,maziwa size ya Embe Dodo,makalio size ya kati yale yanayotetemeka kwa mbali na kupitisha hewa katikati.

Ungeumba wako mkuu....wa kukutana nae kubali jinsi alivyo au pigs kimya huku ukipita vileeeee!
 
Mkuu nakushauri Utongoze JF Achana na FB,Jf ni wa ukweli kaka,wao ni halisi kabisa,nenda "pm" tuuu utawakuta...
na hutojutaa..ukiona ambae hajaweka picha ya Mtu ana Avator ya kitu chochote ambacho sio picha ya Mtu anza nae huyooo,ujue hapendi fujo kwa ajili ya uzuri wake...

Mmh haya mkuu ila ngoja kwanza nisahau ila mmh
 
pole sana!!! ingekuwa dar ningesema mtoto wa director joan a.k.a blackchyna
sijuwi wanatumiaga kamera gani

Hahaha nene blackchyna....dah ni mbovuu yule manzi ...halafu pozi milioni ,, angalau hata mdogo wake Sarah kazuri ila kakibongee
 
Back
Top Bottom