Sura Sio Roho.

Hakuna cha mtenda wema yeye ndio mjinga utaanzaje kumuokoa mwenzako kabla hujajiokoa wewe?

Yeye hajajitoa kitanzi anakimbilia kumtoa mwenzake, hiyo tunaita kiherehere kimemponza
 
Hakuna cha mtenda wema yeye ndio mjinga utaanzaje kumuokoa mwenzako kabla hujajiokoa wewe?

Yeye hajajitoa kitanzi anakimbilia kumtoa mwenzake, hiyo tunaita kiherehere kimemponza

Ni wenye mioyo michache sana ya aina hiyo ambapo asilimia kubwa ya binadam hawawezi hilo jambo kama ulivyoona kwa muono wako hapa. Nature ya binadam ndio ipo hivyo.

Ukiskia upendo wa mshumaa ndio huo upo tayari kupata tabu hata ukaungua wote ili mradi wengine wapate NURU aisee.

Ndio mana tunasema SURA SIO ROHO.
 
Lakn pia tusisahau kwamba hyo picha inafundisha kwamba acha kiherehere kutatua yasiyokuhusu[emoji23] [emoji23]
 
Lakn pia tusisahau kwamba hyo picha inafundisha kwamba acha kiherehere kutatua yasiyokuhusu[emoji23] [emoji23]

Hahahah.

Kila mtu na tafsiri yake na anavyopambanua mambo kutokana na upeo wake wa kufkiri aisee.

Kwa hiyo mawazo yako hayawezi kuwa sawa na mwengine kila mtu ana mwisho wake wa kufkiri kutokana na upeo wake aisee.

Ahsante.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…