Sijaongea na mtu but naamini nina akili ya kikubwaI assure you its not your looks.
Labda umeruhusu software yako nayo iwe baby face.
Sasa wanawake wanajiuliza, sawa sura nitavumilia ndo maumbile ataonekana mdogo siku zote.
Lakini hata upstairs awe ki baby baby akiongea ni pumba tupu.
No way.
So jicheki na output yako. Unachokiongea kinaendana na umri wako?
Aiseee..Vumilia
.....nimewatumia ....... hapo ni ishara kwamba bado haujakomaa kibusara.Hela ninazo labda uje nikupe kazi kama unataka na mpaka nimeamua kutafuta mle nimewatumia vya kutosha
Kuna wakati niliweka tangazo la kutafuta mke kweli nilipata watu humu wa3 ila wote baada ya kuwatumia picha wanasema mimi bado mdogo tatizo nini mimi nina miaka 31 na mrefu ila sura yangu imekuwa bbyface nasioni ikibadilika, nifanyaje