Pierina Vicka
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 246
- 524
Kabisa sio kila mzee Ana busara hata wajinga nao wanazeheka.....nimewatumia ....... hapo ni ishara kwamba bado haujakomaa kibusara.
Kabisa sio kila mzee Ana busara hata wajinga nao wanazeheka.....nimewatumia ....... hapo ni ishara kwamba bado haujakomaa kibusara.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mleta mada kwa uzoefu wangu wa mambo ya mahusiano inaonekana ana sampuli za kina JAMES DELICIOUS,wanawake huwa hawataki mwanaume mwenye sura kama wao,huwa hawapati hisia kunako 6 kwa 6,huwa wanahisi kama wanasagana tu,wewe jiongeze uolewe sio uwaze kuoa,boya kweli!
Hi thereAiseee..
Hello Mr..Hi there
Mkuu kwanini usioe kati ya hao uliowatumiaHela ninazo labda uje nikupe kazi kama unataka na mpaka nimeamua kutafuta mle nimewatumia vya kutosha
[emoji4][emoji4][emoji4]Hello Mr..
Nice words mkuu,wee mleta mada usipite bila kusoma hapa, itakusaidiaaAcha mambo ya kitoto. Be real af kujisifia sura sio ishu! Kidume piga kaziii basss!!!
How you behave infront of a woman has a lot to do with the respect she gives you.