ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,493
Usijali maaAkiweka nitag[emoji124][emoji124]
Usijali maaAkiweka nitag[emoji124][emoji124]
utamchukua shuniee![]()
![]()
![]()
![]()
Then check again.Sijaongea na mtu but naamini nina akili ya kikubwa
Iweke hapa kwa ushauri zaidi tuione kwanza unajua hata doctor hawezi kutibu jeraha bila kulionaKuna wakati niliweka tangazo la kutafuta mke kweli nilipata watu humu wa3 ila wote baada ya kuwatumia picha wanasema mimi bado mdogo tatizo nini mimi nina miaka 31 na mrefu ila sura yangu imekuwa bbyface nasioni ikibadilika, nifanyaje
Hata huko mbali, around 16 hivi.Umeandika na tone ya kitoto around 21years hivi. Sorry lakini
Hahha, karibu kahawa dearHata huko mbali, around 16 hivi.
Hilo nalo nenoI assure you its not your looks.
Labda umeruhusu software yako nayo iwe baby face.
Sasa wanawake wanajiuliza, sawa sura nitavumilia ndo maumbile ataonekana mdogo siku zote.
Lakini hata upstairs awe ki baby baby akiongea ni pumba tupu.
No way.
So jicheki na output yako. Unachokiongea kinaendana na umri wako?