BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,133
- 10,846
Aisee hizi sura zina mchango mkubwa sana katika kufanikiwa kuna baadhi ya sura hata zikiwa na ujinga ni rahisi kuaminiwa lakini baadhi ya wengi ambao tuna potential inside sura zetu zinatuangusha yaani muonekano wa sura tu unafanya mabosi wasituamini juzi nimekosa dili la kuwa mweka hazina wa kikundi Fulani kisa sura imekaa kigaidi gaidi. Naomba niwakumbushe watu sura sio roho mtuamini hata sisi wenye sura za kutatanisha.