Mkuu usiweke picha maana na sisi hatutakuamin kwamba wanakuonea
Huo mwanya😁😁😁Hahahaa....poleee
Ubaya nimekosa na pesa..Jitahd uoe mwanamke mzuri ili akubadilishie chata.
Sura sio roho.Mbona gaidi Osama ana sura nzuri tuu yako iko kama gaidi gani?
Huo mwanya😁😁😁
sikukataliii na kukubali sana japo kuna watakao hisi kuna chembe za utani ila ki uhalisia hata wewe mkuuu kwako tu assume unatafuta house boy alafu kesho yake unaletewa house boy Mbavu nene usoni ana alama kabisa unaziona ni za mapanga ila ukimuuliza anakwambia alidondokaga alivyokua mtoto.Aisee hizi sura zina mchango mkubwa sana katika kufanikiwa kuna baadhi ya sura hata zikiwa na ujinga ni rahisi kuaminiwa lakini baadhi ya wengi ambao tuna potential inside sura zetu zinatuangusha yaani muonekano wa sura tu unafanya mabosi wasituamini juzi nimekosa dili la kuwa mweka hazina wa kikundi Fulani kisa sura imekaa kigaidi gaidi. Naomba niwakumbushe watu sura sio roho mtuamini hata sisi wenye sura za kutatanisha.