Supu ya Mbuzi!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,742
2,000
*Wadada Mna Roho Mbaya Unakutana Na Mkaka Kwenye Magahawa Anakupa Ofa Ya Supu Ya Mbuzi.. Baadae Anakupatia Nauli Ya Tax..*
*Ila akikupa Namba Yake Unamsevu ''SUPU YA MBUZI*

*Yaan Wadada Mna Roho Mbaya Kama Aliyepanga Ratiba Ya Chelsea Na Barcelona ''*
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom