Supu ya kuku wa kienyeji

Supu ya kuku wa kienyeji

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Ni taaaamu sana. R.I.P Ramadhan "Banza Stone" MasanjaView attachment 1921917
C360_2021-09-03-10-00-19-873.jpg
 
Dah jamaa una raha sana.Kwa ulaji huu lazima kalio litakuwa dodo.Any way ngoja na.mimi kinyonge nionyeshe nachokula mchana huu kwa urefu wa kamba yangu

20210820_135719.jpg
 
Hivi kuna tofauti kati ya mchemsho na supu?

Mara kwa mara naenda kule kwa Dangote, supu ile ya pale Somanga ni tofauti sana na hiyo ila naikubali sana.
 
Back
Top Bottom