Supu ya ajabuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Supu ya ajabuu!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkali Tozz, Aug 26, 2012.

 1. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa mmoja aliingia kwa Hoteli, akaagiza supu. muhudumu akampletea supu huku ametumbukiza kidole chake cha mkono.Yule mteja akakasirika na kumkaripia mhudumu:

  MTEJA:Kwanini unatumbukiliza kidole chako kwenye supu yangu?

  MHUDUMU:Niliambiwa na Daktari kidole changu kisipate baridi, kinahitaji joto.

  MTEJA:Fck u, kwanini usikiweke hicho kidole kwenye mk**ndu wako.

  MHUDUMU:Nilishakichomeka huko Kabla sijakiweka kwenye supu .
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Du bora asingemuuliza maana jibu linazidi kumkatisha tamaa
   
 3. p

  pretty n JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hvi inachekesha eeh
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hapana inatia kinyaa!
   
 5. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,371
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa. Bahati yako bado sijala. Maana ningeku-mind sana.
   
 6. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  duh!sasa bora huyo kagundua....je wateja wengine ambao ametumia kidole chake kuwakologea chai
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  chai yenyewe ya baridi?
   
Loading...