Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Carmel miaka ileeeeeeeee kuna jamaa niliamini ndo roho na mwili wangu ni kama vile mwili bila damu ..one day yes nikatia timu bila taarifa nilisafiri masafa kidogo ,,kufika naingia ndani nakumbana na bi dada kakaa na huyo jamaa wamejilalia na kanga moja t made in India kwenye kochi huku vi picha vyangu nikiwa naye vikiwa vimepambwa ndani sasa sijui alimwambia huyo mdada mie ni nani yake ama House girl ama dadaangu sipati picha
Mlango nilioingilia ndio niliotokea mpaka keshooooooooo najuuuuuuuuta kumfahamu
habari ndo hiyo
Sasa ikawaje tena akaja kukuoa, ulimsamehe?