nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 937
Mkuu ndio wewe nini uliyemuoa mbona povu na matusi juu.. Au unafikir venye nilivyokuwa sina hela ndio mpka sasa niko hivyo maisha ni safari tu.We ni nyoko kumuoa usingeweza couse hukuwa umejipanga so yeye kuolewa ilikua vizuri tu na ulipashwa kumpongeza.kinachokuuma kitu gani ulitaka umchezee tu umpotezee time lake venye huna akili.pambana na umaskini wako waachie wenye navyo wajipatie makitchen
Ndiyo mkuu ila ashakulaKweli ila makali yakizidi sana hakikawii kuwa butu.
Tafuta na mwingine mzoeaneSiyo kwa sababu ata nami nilikula kinachoumiza ni mazoea tu