Suprise haikulipa

Suprise haikulipa

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,520
Reaction score
6,517
Nasoma nje ya mkoa wa DSM, mke na familia wapo DSM, weekend moja nikaamua kufanya suprise kumtembelea wife na familia bila kumtaarifu kuwa nakuja, sasa kumbe naye siku hiyo hiyo naye amepanga kuni suprise kwa kunitembelea chuo bila taarifa. Nafika nyumbani hayupo, naye anafika chuoni sipo. Yes, suprise haikulipa.
 
Mbona raha ningekuwa mimi ningebuni tukutane kati kati mwa safari baada ya kutokea jambo hilo.Mfano Dar na Dodoma basi tukutane Moro tupongezane uchizi wetu Lol.
 
Una uhakika gani alikwenda chuoni?

mbona mimi naona manyoya hapa?
 
Hiyo ndio suprise ya ukweli
 
hiyo ndio surprise ya ukweli sasa...
 
Back
Top Bottom