Mdharuba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 824
- 522
Uko na girlfriend wako kwenye basi mmesimama, anakuuliza, 'baby nikufanyie surprise?' unamjibu 'ndio'. Anakusogelea karibu, anafungua zipu, anaingiza mkono, anaitoa nje mbele za watu. Unabaki tu kutoa macho huna cha kufanya, then anakuuliza, nikupe hapa hapa au tukifika nyumbani?
Kwa kuwa na wewe una hamu nayo, unamwambia nipe hapa hapa naye anaamua kukupa Iphone 6+ aliyokununulia akaiweka kwenye begi,, unaweka chip yako unaanza kuwapigia washkaji zako...
Mliwaza nini kizazi cha nyoka nyie������