Elections 2010 Suppose Wahisani Wakawaambia CHADEMA....

Natambua iko siku ndoto zenu feki za matokeo kubadilika zitaisha halafu sijui mtaanza kujadilinini.
na kwa nini member wengi mnamtambua mtu kwa ukabila, ninyi si mnapinga ukabila na udini, then why MKWERE?????????
Ye mwenyewe hupenda kujitambulisha kama mkerwe ktk hotuba zake.
 
MKWERE: akiwa na bakula, anaomba kwa wazee wa kaya wa wasomi huko ulaya.
WAZEE WA ULAYA: Kwani una shida gani mkwere?
MKWERE: Nina matatizo mengi wazee wangu, UKIMWI, MALARIA, UMASKIN, na hayayote bajeti yangu haifikii
WAZEE WA ULAYA: Halafu w mkwere, si una dhahabu, almasi,makaa ya mawe, gesi asilia, uraniun, tena tunasikia unamadini ambayo wewe kwenye kaya yako tu unayo ya tanzanite na madini mengi ne mengi, una wanyama kwa ajili ya watalii, una vivutio vingi tu kwa utalii vingine umeshindwa kuvirudisha toka ujeruman et huna pa kuviweka, una misitu unavuna mbao, una mito na mabwawa mengi na bahari ya hindi iko kwako pia. una mlima mrefu afrika nzima ule tumasikia unaitwa kilimanjaro sijui uko kwako kweli maana muda mwingine tumaambiwa uko kenya.. na kodi mbalimbali za nchi yako, mbona wewe kaya yako bado ni maskini hivi?
MKWERE: hata mimi sijui kwanini sisi ni maskini wazee wangU.

Jamani huyu ni mzee gan wa kaya asiyejua kwann ni maskin!!!!!!!
 
Hizo ni ndoto , refer kwenye katiba na wenyewe hawawezi kufanya hivyo kwani sio wajinga kiasi hicho. Jipangeni tu 2015 bana

wewe hebu amka tume ya morino ocampo imeshaingiza kifungu cha rigging election...yakifika huko hakuna cha rais wala tume ya uchaguzi
 
Hivi alieshinda ni nani kura za urais?

maana hata wenyewe CHADEMA wanakiri mkwere kashinda sasa hapo sielewi wanacholalamikia ni nini? na huo ushahidi wakipeleka ule wa mkwere 45.x kwa phd 44.x watakuwa wamepeleka galasa!!!:teeth:
 
Wakawaambie:

Wahisani: Nyie siku ile mulijifanya kutoka nje ya ukumbi wakati Mkwere anahutubia bunge.........Why?

Chadema: Alichakachua kura za wananchi. Ni Rais batili.

Wahisani: Leteni ushahidi. Hatutaki viduku hapa.

Chadema: Huu hapa. (Wanaweka mezani. Assume ushahidi wenyewe ukawa full ukweli)

Itakuwaje???

Mkwere lazima awaite Chadema wayamalize kabla hatujafika huko.

Pole mkwere. Una kazi ku-deal na watu walioenda skuli.

i, bhebhe nanho ng'wanangwa! umetoa wapi mawazo hayo? punguza hasira mtu wangu-hawa ni saizi yetu wala haina haja kuwazungukia kwa bibi! 2015 tunachukua asilimia75 ya viti bungeni-kudadadadeki!-wakichakachua uraisi ndy wataona hasira za wadanganyika.
 
Mtachonga sana lakini haitasaidia. Najua kama mngekuwa mmeshinda basi pasingetosha kwani mngejumlisha haraka haraka na kuanza kucomplain lakini mnashindwa kwa sababu hamkushinda na ndo maana sasa hivi hamueleweki mara hamumtambui rais mara mnadai katiba mpya. Nyie watu mbona hamueleweki? Agggghhhhhhhhhhhhhh.
 
Back
Top Bottom