Suppose Wahisani Wakawaambia CHADEMA.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suppose Wahisani Wakawaambia CHADEMA....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Nov 18, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Wakawaambie:

  Wahisani: Nyie siku ile mulijifanya kutoka nje ya ukumbi wakati Mkwere anahutubia bunge.........Why?

  Chadema: Alichakachua kura za wananchi. Ni Rais batili.

  Wahisani: Leteni ushahidi. Hatutaki viduku hapa.

  Chadema: Huu hapa. (Wanaweka mezani. Assume ushahidi wenyewe ukawa full ukweli)

  Itakuwaje???

  Mkwere lazima awaite Chadema wayamalize kabla hatujafika huko.

  Pole mkwere. Una kazi ku-deal na watu walioenda skuli.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hizo ni ndoto , refer kwenye katiba na wenyewe hawawezi kufanya hivyo kwani sio wajinga kiasi hicho. Jipangeni tu 2015 bana
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  Siyo lazima wafanyie Tz.

  Wanaweza kuitwa huko huko kwenye nchi za wahisani.

  Nauli zipo. Wala hatuhitaji huruma ya CCM kupata nauli ya kwenda anakokwendaga Mkwere kutembeza bakuli la kuomba mpunga.
   
 4. W

  We know next JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ng'wanangwa, hilo nalo neno ndugu yangu!
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Itakuwa jambo la mbolea wakubwa wakajua ili wajue misaada inakwenda kwenye mfuko uliotoboka.
  No wonder walipunguza fungu kwa the existing budget!
  Donors wakikomaa CCM watatia akili hasa NEC in particular na raisi wao
   
 6. L

  Lorah JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  mwaga mboga na mimi nimwage ugali lol...
  hahahahahah:A S-baby:
   
 7. L

  Lorah JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  mwaga mboga namwaga ugali
   
 8. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo huwa tunapenda kupuuzia mambo na kusahau,unakumbuka EPA kupelekwa mahakamani ilikuwa shinikizo la wahisani.Hivi mnafikiri bajeti ya trilion 11 tutaifinance vip wakati mapato yetu hayazidi 5.4 trillion.Halafu anatudanganya eti sa hivi utegemezi wetu ni 28% sidhani kama kuna mwenye akili atakayemwelewa anafanya nini ikulu.Sasa hilo la haki ya uchaguzi lazima lije.
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dah,i wish this mive iwe na nguvu sana na ilete mafanikio ndani ya mda mfupi kabla ya 2015
   
 10. muya

  muya Member

  #10
  Nov 20, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Natambua iko siku ndoto zenu feki za matokeo kubadilika zitaisha halafu sijui mtaanza kujadilinini.
  na kwa nini member wengi mnamtambua mtu kwa ukabila, ninyi si mnapinga ukabila na udini, then why MKWERE?????????
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kijana ata mwalimu alisema watz wanaulizana makabila kwa lengo la kutanianiana unakumbuka kwenye hotuba yake liwataja WAKALA
  So mtu anaposema mkwele what comes in my mind ni utamaduni wao
   
 12. m

  matambo JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi umekwisha, yaliyotokea yametokea , tugange tulijenge taifa bwana , wote tunakumbuka sakata la bush na al gore 200o, lakini nini kilitokea? Baadae al gore akampigia simu bush wakayamaliza na nchi ikasonga mbele, sijui sie tunawaza nini ?
   
 13. m

  matambo JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi umeisha, tujenge nchi sasa

  kwani ya bush na al gore 2000 yalikuwaje?kwani al gore hakutumia busara na nchi ikaendelea kujengwa?
   
 14. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Kesi ya Bush na Al Gore haifanani na case ya Dr. SLAA-CHADEMA versus KIKWETE-CCM/NEC. Lazima uelewe hilo.
  Katiba ya USA ni tofauti kwa mbali sana na Katiba ya Tanzania. CHADEMA tunataka KATIBA MPYA ITAKAYOWEZESHA KUUNDWA KWA TUME HURU YA UCHAGUZI-NEC. Siyo mtu anachakachua(anaiba)KURA na kuingia madarakani kwa kubebwa na NEC halafu aliyeibiwa KURA anaambiwa hana HAKI YA KUHOJI MATOKEO. That is DICTATORSHIP!
  Tunataka KATIBA MPYA BEFORE 2015.
   
 15. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  kumbuka mpaka agosti 2009 jwtz walikuwa bado wakiwatesa wapemba. Baada ya wahisani kumuuliza mkwere kuhus ahadi ake kuhusu zanzibar bdipo serikali ya umoja wa kitaifa ikapatikana haraka haraka. Ccm n jk hawana jeuri mbel ya wahisani kutokana na bajeti yao kuwategemea kw akiwango kikubwa sana.
   
 16. Marunda

  Marunda Senior Member

  #16
  Nov 20, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli umenikuna saaana. Hili ndio tatizo kubwa la Watz wengi kufikirikwao ni kula na kunywa tuu. Hawataki kutumia akili kuchanganua kila neno Mkwere analotueleza ili wagundue ukweli upo vipi!

  Asante sana:target:
   
 17. Marunda

  Marunda Senior Member

  #17
  Nov 20, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
   
 18. m

  mchakachuaji1 Senior Member

  #18
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii ni kweli kabisa kiongozi CHADEMA sio mambumbu kama kina makamba na chilihati.
   
 19. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kweli kabisa Makoye, after all ile kesi ya matokeo ilihukumiwa na majaji kenye court.
  Lakini kinacho uma zaidi ni eti hata wakifanya wizi wa kura tunyamaze tusiulize kama mambumbu. Hivi hii ni katiba gani? Tunahitaji katiba mpya yenye kujali maadili ya kiutu. Tanzania yetu iwe nchi yenye haki na usawa wa binadamu.Haiwezekani tuendelee kuwa na katiba mbovu na kandamizi ya dhuluma na kifisadi, inayoruhusu wizi wa NEC kwa kura zetu.

  Contemplation often makes life miserable. We should act more, think less, and stop watching our selves live.Nicolas de Chamfort.
   
 20. D

  DENYO JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dr slaa ni member wa jf na amepata kilio chetu tunataka afikishe malalamiko yetu kwa wahisani bila kuchelewa with attachment matokeo feki ya nec na matokeo halisi from polling station, apewe obama direct, apewe david cameroon, apewe brazilian president, apewe prime minister canada, europe na wengineo tunataka hilo haraka ccm wabishi
   
Loading...