kwa tunaoishi africa lifestyle yetu ni support system kubwa
ofisini mnaongea yote,kijiweni the same....wadada wakienda saloon ndo usiseme
kwenye daladala wakati wa foleni.watu wanabwabwaja tu mambo yao.....
uswahilini,wapangaji wenzio na kadhalika......ndugu,mjomba,shangazi....
sometimes ukiishi kizungu kwa hapa africa unapata hizo risk za depression....
ingawa siwalaumu wanaoishi hivyo but nimeona saana
Lizzy umeongea kweli kabisa na kama alivyosema Boss, maisha ya kiafrica yanapunguza stress na namna hii kutokana na tamaduni za kuingiliana. Ukiwa unawaza chumbani kwako mara amekuja jirani umemsimulia, inasaidia. Ila Ulaya bana style ya maisha inasababisha sana stress. Ni hivi majuzi tu nikiwa kwenye nchi fulani, ilikuwa nusura dada mmoja ajiue kwa stress ndogo sana, ambayo binafsi nilijua katoka nayo Tanzania, lakini alipofika ughaibuni, siku baada ya siku ikawa inazidi kujikusanya ndani yake, na ilipokuja kulipuka ilikuwa ni balaa, shukrani kwa majirani tuliokuwa karibu, kwani hadi sasa kalazwa...
Dah! nilitaka kuongea kitu kuhusu hii post lakini acha niuchune tu. eniwei mheshimiwa Tuko yupo very right.Tatizo sio mahali bali ni watu wanaokuzunguka.
Unaweza ukawa ulaya na ukajihisi huru zaidi katika kushea mambo yako kuliko mtu aliyeko Afrika. Ndio maana haa huyo dada pamoja na kwamba yupo ulaya mwisho wa siku amepata msaada aliohitaji.
Lizzy...umeongea vyema.
Hii story inaumiza sana...those poor kids didnt deserve to die...
Hebu njoo PM nikuulize kasuala ka private nilikokusudia kukuuliza hapa.Embu sema bana.....
This is my thread...where you are expected to talk openly!
Kwa system za maisha ya ulaya sidhani kama angeshindwa kuwakabidhi hao watoto kwa social security! Mimi nadhani ana personal issues ambazo zimempatia depression tu na akaamua kuuwa watoto kwa msukumo wa depression.Asante kwa kutochakachua thread ...
Vipi wewe unadhani kama huyo dada aliwaua wanawe kutokana na kuchanganyikiwa nani alaumiwe?
kwa tunaoishi africa lifestyle yetu ni support system kubwa
ofisini mnaongea yote,kijiweni the same....wadada wakienda saloon ndo usiseme
kwenye daladala wakati wa foleni.watu wanabwabwaja tu mambo yao.....
uswahilini,wapangaji wenzio na kadhalika......ndugu,mjomba,shangazi....
sometimes ukiishi kizungu kwa hapa africa unapata hizo risk za depression....
ingawa siwalaumu wanaoishi hivyo but nimeona saana
Nakumbuka tulipokuwa wadogo tulikuwa na majirani ambao kidogo walikuwa hawana uwezo; you can't imagine baba alikuwa akinunua gunia la sukari basi jua hata kilo kumi zinaenda kwa jirani. Yani kuomba chumvi ilikuwa si shida. But these days we are more westernized; sijawahi kuona mtu anaomba chochote kwangu wala mimi kuomba kwa mtu.
Kwa system za maisha ya ulaya sidhani kama angeshindwa kuwakabidhi hao watoto kwa social security! Mimi nadhani ana personal issues ambazo zimempatia depression tu na akaamua kuuwa watoto kwa msukumo wa depression.
Au pia inawezekana amekosana na watu wa kwenye system na akajijua yeye yupo right hivyo ameamua kufanya hivyo ili system iwajibishwe. All in all mama yupo very wrong.
Nakumbuka tulipokuwa wadogo tulikuwa na majirani ambao kidogo walikuwa hawana uwezo; you can't imagine baba alikuwa akinunua gunia la sukari basi jua hata kilo kumi zinaenda kwa jirani. Yani kuomba chumvi ilikuwa si shida. But these days we are more westernized; sijawahi kuona mtu anaomba chochote kwangu wala mimi kuomba kwa mtu.
Asante kwa kutochakachua thread ...
Vipi wewe unadhani kama huyo dada aliwaua wanawe kutokana na kuchanganyikiwa nani alaumiwe?
Je yeye alikuwa entitled kupata huo msaada?, manaake samtaimu sisi waafrica tunafuja wenyewe kwenye haya masuala halaf tunaanza kuforce. Inaelekea huyu mama alipoteza kazi yake bila sababu zinazokubalika kisheria na halaf akalejea social kuclaim benefit. But still alikuwa na option ya kuwakabidhi hao watoto kwa social security kama yeye hakuwa na income yoyote (though sijui system ya sweden ikoje, lakini i guess system za ulaya zinafanana)Aliwaomba msaada wakamnyima...bila kutoa sababu.