Supplier wa samaki wabichi (sato) toka Mwanza

Supplier wa samaki wabichi (sato) toka Mwanza

KIJANI

Senior Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
138
Reaction score
26
Salaamu wanaJamii,

Nataka kupata mtu anayeleta Samaki aina ya SATO WABICHI kutoka Mwanza kuja Dsm na anauza kwa Jumla tuwasiliane. Nataka kupata Mzigo (Mawasiliano: 0767235923).

Karibu sana!
 
kaka nipo tayari kuwa supply wako wa samaki
 
Back
Top Bottom