mchezo tosha
Member
- Jul 3, 2014
- 17
- 3
Habari wana JF,
Kuna thread moja nilisoma kuhusu kununua mizigo kutoka China kupitia website ya alibaba. Nahisi iliwekwa na ndugu mwasalemba kama sija kosea. Nimeicheki sana hii website kwa siku nyingi.
Nimeulizia bei na wengine wamenijibu. Shida ni it's difficult ku trust na ku weka order ya mizigo. Sasa basi naomba wana JF, kama kuna mtu / watu ambao wanauzoefu wa kununua au wana majina ya ma supplier ambao wamesha fanya nao biashara hii niweza kupata start point. Pia na shipping companies ambazo ziko fasta.
Natanguliza shukrani
Mafano wa handbag