Supplier wa handbag na viatu vya kike alibaba.com

mchezo tosha

Member
Jul 3, 2014
17
3
Habari wana JF,

Kuna thread moja nilisoma kuhusu kununua mizigo kutoka China kupitia website ya alibaba. Nahisi iliwekwa na ndugu mwasalemba kama sija kosea. Nimeicheki sana hii website kwa siku nyingi.

Nimeulizia bei na wengine wamenijibu. Shida ni it's difficult ku trust na ku weka order ya mizigo. Sasa basi naomba wana JF, kama kuna mtu / watu ambao wanauzoefu wa kununua au wana majina ya ma supplier ambao wamesha fanya nao biashara hii niweza kupata start point. Pia na shipping companies ambazo ziko fasta.

Natanguliza shukrani

Mafano wa handbag
 
Attachments

  • IMG-20150519-WA0088.jpg
    IMG-20150519-WA0088.jpg
    94.1 KB · Views: 514
  • IMG-20150519-WA0081.jpg
    IMG-20150519-WA0081.jpg
    83.3 KB · Views: 489
  • IMG-20150519-WA0084.jpg
    IMG-20150519-WA0084.jpg
    75.7 KB · Views: 462
  • IMG-20150519-WA0067.jpg
    IMG-20150519-WA0067.jpg
    61.4 KB · Views: 457
  • IMG-20150519-WA0066.jpg
    IMG-20150519-WA0066.jpg
    54.9 KB · Views: 443
Mkuu mchezo tosha

Usinunue kwa supplier asiyekuwa na Alama hizi katika site yake:

1. Gold supplier- anauza sana alibaba, atakuwa na bidhaa nzuri zaidi ya wenzake.

2. Supplier Assessment- ameshafanyiwa uchunguzi na kuonekana ni supplier genuine.

3. Nunua kwa supplier mwenye "trade assurance" ya alibaba. Kama Mali hujaridhika nayo au wamekutapeli, unarudishiwa pesa na alibaba. Soma vizuri contract yako.

Kwa kifupi, alibaba.com wanauza kuliko Amazon na eBay combined.

Soma sifa za supplier chini ya Jina la kiwanda.
 
Last edited by a moderator:
Habari wana JF,

Kuna thread moja nilisoma kuhusu kununua mizigo kutoka China kupitia website ya alibaba. Nahisi iliwekwa na ndugu mwasalemba kama sija kosea. Nimeicheki sana hii website kwa siku nyingi.

Nimeulizia bei na wengine wamenijibu. Shida ni it's difficult ku trust na ku weka order ya mizigo. Sasa basi naomba wana JF, kama kuna mtu / watu ambao wanauzoefu wa kununua au wana majina ya ma supplier ambao wamesha fanya nao biashara hii niweza kupata start point. Pia na shipping companies ambazo ziko fasta.

Natanguliza shukrani

Mafano wa handbag

Ule uzi wa mwasalemba uliunganisha wadau kadhaa wakaanzisha group la watsap ambapo elimu na ushirikiano wa biashara za aina zote hujadiliwa humo kiupana zaidi nakushauri mwambie mwasalemba kwa pm akuunganishe na hilo group matatizo yako yoote yatatatuliwa humo.
 
Jamani nawa shukuru sana kwa kupata mda wakujibu. Thank you all for your help.

Bushland hizo pochi sina ndo nazitafuta
Tokyo40 asante sana. Nimejaribu ku save suppliers wenye hizo sofa kwenye account yangu. Thanks for the advice

Kulyunga asante sana nitamtafuta mwasalemba
 
Habari wana JF,

Kuna thread moja nilisoma kuhusu kununua mizigo kutoka China kupitia website ya alibaba. Nahisi iliwekwa na ndugu mwasalemba kama sija kosea. Nimeicheki sana hii website kwa siku nyingi.

Nimeulizia bei na wengine wamenijibu. Shida ni it's difficult ku trust na ku weka order ya mizigo. Sasa basi naomba wana JF, kama kuna mtu / watu ambao wanauzoefu wa kununua au wana majina ya ma supplier ambao wamesha fanya nao biashara hii niweza kupata start point. Pia na shipping companies ambazo ziko fasta.

Natanguliza shukrani

Mafano wa handbag
Pole kwa usumbufu uliopata

Kwa faida yako na wengine naweka details zifuatazo

1. Chagua bidhaa unazotaka kwenye mtandao wowote ule nchini China

2. Tuma link za kila bidhaa kwenye email yetu hii HAPA

3. Njoo ofisini kwetu au fanya malipo kwenda kwenye account yetu ya hapa Tanzania. Utapewa risiti na terms

4. Sisi hapa China tutanunua hivyo vitu kwa niaba yako baada ya kujiridhisha na supplier uliyemchagua (YES TUNA EXPERIENCE YA MIAKA MINGI NCHINI CHINA NA TUNAJUA MENGI KTK ULIMWENGU WA BIASHARA YA CHINA)

5. Tukisha pokea mizigo yako toka kwa suppliers tutaituma kwa pamoja kwenda Tanzania kwa njia ya MAJI AU AIR kulingana na mahitaji yako (a. Kutakuwa na delay pindi tunasubiri mizigo yako ifike kwetu kutoka kwa suppliers,kwa sababu suppliers wapo majimbo tofauti. Itabidi ulipie gharama za kusafirisha mzigo kutoka kwa suppliers hadi ufike kwenye ofisi yetu Guangzhou. Gharama hii ni ndogo sana, mara nyingi inakuwa indicated ktk page ya item unayotaka kununua b. Usafiri wa meli ni cheap na unachukua about one month hadi mzigo ufike. Usafiri wa ndege ni gharama ni zaidi ya dola kumi kwa kilo kutoka china hadi Tanzania. Uamuzi ni wako kuchagua. Gharama za usafiri wa ndege lazima ulipe kabla mzigo wako haujatumwa. Gharama za meli utalipa pindi mzigo wako umefika. Gharama za meli mara nyingi zina include ushuru. Gharama za meli wanacharge kwa mfumo wa CUBIC METRE, one cubic metre costs 400 to 500 USD, ushuru upo included hapo.)

6. Utalipia gharama ya kuuchukua mzigo wako toka ofisi zetu za china kwenda kwenye kampuni la meli au ndege tayari kwa utumwaji. Gharama hii itategemea na ukubwa wa mzigo. Mzigo wako ukifika tunakupa taarifa ukauchukue wewe mwenyewe.

7. Utatulipa handling fee ya process nzima kutoka china hadi tanzania. Gharama hii ni ndogo kulingana na uzito wa kazi yenyewe.

Option #2
Fanya 1 through 4 mwenyewe, then sisi tutamalizia steps zilizo baki.

Option #3
Fnya 1 through 7 mwenye. Siku ukikwama sehemu tuulize tukupe ushauri. Ushauri huu ni bure.

Mwisho, huduma hii ni kwaajili ya kuwasaidia Watanzania wenye nia ya kufanya biashara nchini China. Tunakaribisha mtu mwenye uhitaji na aliye na ushirikiano au atakaye kuwa na ushirikiano katika mchakato mzima wa kupata products zake. Process hii siyo rahisi kama wengi wanavyofikiria.

Note.
Malipo yeyote yale lazima yafanyike bank, ana kwa ana ukiwepo wewe(siyo mtu wa kati au representative wako) na mwakilishi wa ofisi yetu. Hatupokei cash.

Nyote mnakaribishwa.
 
Ule uzi wa mwasalemba uliunganisha wadau kadhaa wakaanzisha group la watsap ambapo elimu na ushirikiano wa biashara za aina zote hujadiliwa humo kiupana zaidi nakushauri mwambie mwasalemba kwa pm akuunganishe na hilo group matatizo yako yoote yatatatuliwa humo.

Mbona mnapoteza malengo ya majukwaa yaliyopo JF? Haya magroup yataondoa ubora wa jamii forums.
 
Nimeweka kila kitu open. Soma upate details

Pole kwa usumbufu uliopata

Kwa faida yako na wengine naweka details zifuatazo

1. Chagua bidhaa unazotaka kwenye mtandao wowote ule nchini China

2. Tuma link za kila bidhaa kwenye email yetu hii HAPA

3. Njoo ofisini kwetu au fanya malipo kwenda kwenye account yetu ya hapa Tanzania. Utapewa risiti na terms

4. Sisi hapa China tutanunua hivyo vitu kwa niaba yako baada ya kujiridhisha na supplier uliyemchagua (YES TUNA EXPERIENCE YA MIAKA MINGI NCHINI CHINA NA TUNAJUA MENGI KTK ULIMWENGU WA BIASHARA YA CHINA)

5. Tukisha pokea mizigo yako toka kwa suppliers tutaituma kwa pamoja kwenda Tanzania kwa njia ya MAJI AU AIR kulingana na mahitaji yako (a. Kutakuwa na delay pindi tunasubiri mizigo yako ifike kwetu kutoka kwa suppliers,kwa sababu suppliers wapo majimbo tofauti. Itabidi ulipie gharama za kusafirisha mzigo kutoka kwa suppliers hadi ufike kwenye ofisi yetu Guangzhou. Gharama hii ni ndogo sana, mara nyingi inakuwa indicated ktk page ya item unayotaka kununua b. Usafiri wa meli ni cheap na unachukua about one month hadi mzigo ufike. Usafiri wa ndege ni gharama ni zaidi ya dola kumi kwa kilo kutoka china hadi Tanzania. Uamuzi ni wako kuchagua. Gharama za usafiri wa ndege lazima ulipe kabla mzigo wako haujatumwa. Gharama za meli utalipa pindi mzigo wako umefika. Gharama za meli mara nyingi zina include ushuru. Gharama za meli wanacharge kwa mfumo wa CUBIC METRE, one cubic metre costs 400 to 500 USD, ushuru upo included hapo.)

6. Utalipia gharama ya kuuchukua mzigo wako toka ofisi zetu za china kwenda kwenye kampuni la meli au ndege tayari kwa utumwaji. Gharama hii itategemea na ukubwa wa mzigo. Mzigo wako ukifika tunakupa taarifa ukauchukue wewe mwenyewe.

7. Utatulipa handling fee ya process nzima kutoka china hadi tanzania. Gharama hii ni ndogo kulingana na uzito wa kazi yenyewe.

Option #2
Fanya 1 through 4 mwenyewe, then sisi tutamalizia steps zilizo baki.

Option #3
Fnya 1 through 7 mwenye. Siku ukikwama sehemu tuulize tukupe ushauri. Ushauri huu ni bure.

Mwisho, huduma hii ni kwaajili ya kuwasaidia Watanzania wenye nia ya kufanya biashara nchini China. Tunakaribisha mtu mwenye uhitaji na aliye na ushirikiano au atakaye kuwa na ushirikiano katika mchakato mzima wa kupata products zake. Process hii siyo rahisi kama wengi wanavyofikiria.

Note.
Malipo yeyote yale lazima yafanyike bank, ana kwa ana ukiwepo wewe(siyo mtu wa kati au representative wako) na mwakilishi wa ofisi yetu. Hatupokei cash.

Nyote mnakaribishwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom