Supermodel Naomi Campbell weeps

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,920
31,153
headline_bullet.jpg
Touched on seeing mothers and their newborns crowded in Temeke hospital maternity wing



Naomi%20lia.jpg

British supermodel Naomi Campbell, who is Global Ambassador for White Ribbon Alliance, weeping after visiting a congested maternity ward (L) at Temeke District Hospital in Dar es Salaam yesterday.



Visiting Global Ambassador of White Ribbon Alliance (WRA) Naomi Campbell yesterday shed tears after witnessing mothers with their newly born babies sharing beds or sleeping on the floor at Temeke hospital.
The British supermodel was visiting the hospital in Dar es Salaam as part of her charity work in the country for the Alliance.
Naomi was emotionally overwhelmed after witnessing three women, who had just delivered sharing a small bed.
A number of others lay on the floor and on benches with their newly born babies.
Those who were yet to deliver sat on the floor due to acute shortage of beds and wards.
“This is unbelievable,” was the phrase she kept uttering as she surveyed the tiny, congested maternity ward.
The model retreated to a nearby tree and leaning on it wept silently. She was consoled by colleagues.
“We appeal to the government to provide us with more beds; we are overcrowded,” said one of the mothers who sat on one of the beds with her baby and two colleagues.
One of the midwives who pleaded anonymity said: "The place is too small for us, it needs expansion. I delivered a baby on the floor because we don’t have beds. The authorities are aware of the situation,” she said.
According to the acting medical in-charge of the hospital, Dr. Gilbert Buberwa, there has been a sharp increase of in-patients which the hospital has been unable to handle.
"The facilities we have can no longer cater for all these people, that is why this is happening. We really have to do something about this as a nation, " said a nurse who would not give her name.
“This is unacceptable, it’s very unfair. How can people be treated like these?, asked Stara Thomas also in tears. The local singer was accompanying Naomi Campbell at the hospital.
Later on the visiting model distributed khangas to mothers and presented bouquets of flowers to two wards.
Sources told The Guardian that, as the Global Ambassador for WRA, she was in the country for her Fashion for Relief (FFR), a charity catwalk event to raise funds for an awareness campaign for safe pregnancy and childbirth.
Meanwhile, Correspondent Hellen Nachilongo reports that Tanzania is unlikely to achieve the Millennium Development Goals by 2015 unless major attention and investment is channeled to reducing under-five and maternal mortality.
Health and Social Welfare minister, Prof David Mwakyusa made the remarks in Dar es Salaam yesterday when receiving ambulances, vehicle, motorbikes, maternal and newborn health equipment worth 1.3bn/-.
He said improving maternal, newborn health and care for pregnant women is among priority areas calling for support from everyone.
According to the minister the ambulances and communication equipment will improve referrals in Mbeya, Lindi, Kagera and Kigoma regions and will have an impact on maternal and newborn care.
“This system will save the precious lives of thousands of children every year from death because of lack of such equipment,” he said.
“The support we are receiving will strengthen the tumour control programme and other neglected tropical diseases which continue to be a serious challenge in the country, ” Prof mwakyusa said.
He thanked the European Union (EU) and World Health Organisation (WHO) for the support and called on other partners and stakeholders to follow their example.
For his part the UN Resident Coordinator Alberic Kacou said they decided to donate the equipment because the Sub Saharan African countries including Tanzania suffered from high maternal and child mortality rates.
The WHO Country Representative Jean Tapko said Tanzania was among eight countries benefitting from the organisation’s assistance,calling for strengthening of the national capacity to face the challenge.
“Pregnant women and children are supposed to be given priority care, including protection from malaria in the country,” he said.
This is a second phase project which will run from 2009/10. The EC and WHO programmes are being implemented in Coast, Lindi and Rukwa regions as well as Zanzibar.



SOURCE: THE GUARDIAN
 
pole Naomi,

mambo ya kumtoa mtu mchozi yapo mengi sana hapa Bongo kwetu, kuna watoto kibao wanazunguka zunguka pale maeneo ya posta as young as 5yrs old, homeless..
kuna wale wazee na vijana choka mbaya wa mitaani waliopaukaaa hawawezi hata kununua ndala mpya
akienda vijijini kuangalia housing, maji wanayokunywa watu na jinsi vibatari vina fuka moshi usiku ndio atapiga ukunga kabisa..

na mengineyo mengi tuu
 
how dare you ???? :x

You think this is cool??? Shame !! Yaani unaona ni sawa wajazito kurundikana kwenye wodi?? Hivi umemahi kuugua na kulazwa hospitali? Can you imagine sharing that same bed with another patient, let alone sharing with two others, or sleeping on the floor?? Can you imagine your wife, or relative who is pregnant lying on the floor? Yet you find this is cool...!! Hii ni aibu kwetu....na msomi kama wewe (i presume) hujaona kama hili ni tatizo, basi tuna tatizo kubwa sana nchini kwetu.
 
maringo tu hayo!

how dare you ???? :x

You think this is cool??? Shame !! Yaani unaona ni sawa wajazito kurundikana kwenye wodi?? Hivi umemahi kuugua na kulazwa hospitali? Can you imagine sharing that same bed with another patient, let alone sharing with two others, or sleeping on the floor?? Can you imagine your wife, or relative who is pregnant lying on the floor? Yet you find this is cool...!! Hii ni aibu kwetu....na msomi kama wewe (i presume) hujaona kama hili ni tatizo, basi tuna tatizo kubwa sana nchini kwetu.
 
Tatizo viongozi wetu vipaumbele vya nchi vimeelekezwa sehemu zingine: ufisadi, kujipatia mishahara mikubwa na posho kubwa (kwa mfano za wabunge) na matumizi mengine mabaya ya fedha za wananchi. Kama viongozi wangekuwa wanazingatia maslahi ya wananchi kwanza, hapangekuwa na mama aliyejifungua Tanzania kulala chini. Ni aibu kubwa sana kutegemea wafadhili na huruma za wageni wakati uwezo tunao lakini wachache wanafuja mali.
 
6628d1258193423-supermodel-naomi-campbell-weeps-naomi.jpg


Nimeikuza!

kilicho mliza huyo dada ni kujikweza kwa wenyeji wake na aloyakuta mvunguni kwa wenyeji wake,kuanzia airport waliompokea,mpaka kwenye mitindo viingilio,mke wa raisi alivokaa nae na kujisifia zahabu zangu hizi unazoziona mr raisi kaninulia india dola milioni, na lipotembelea hao masikini ndio akaona hamadi hawa watu mazulumati namna hiiii? ndio macozi yakamtoka.
 
how dare you ???? :x

You think this is cool??? Shame !! Yaani unaona ni sawa wajazito kurundikana kwenye wodi?? Hivi umemahi kuugua na kulazwa hospitali? Can you imagine sharing that same bed with another patient, let alone sharing with two others, or sleeping on the floor?? Can you imagine your wife, or relative who is pregnant lying on the floor? Yet you find this is cool...!! Hii ni aibu kwetu....na msomi kama wewe (i presume) hujaona kama hili ni tatizo, basi tuna tatizo kubwa sana nchini kwetu.

''If there is a problem try and change it, if you cant change it then change your attitude''

Hayo maneno sikuyasema mimi, na nadhani yanamaanisha kwamba kama huwezi kusolve tatizo then kubaliana nalo!! Watanzania wengi(hata wewe) tumeshakubali matatizo yetu and we have made them part of our life. Hii situation haijaanza leo na wala dalili hazionyeshi kama itaisha kesho, kama unabisha naweza kukuwakilishia kila siku picha ya maternity ward ya m'mala au temeke au amana mfululizo kwa mwaka mzima, kama utaona tofauti(angalau kwa siku mbili) basi mi najiuzulu membership jf!! Kuna mtu alisema miafrika ndivyo tulivyo watu wakamsakama, lakini kubali usikubali habari ndo hiyo!!
 
Na nchi ina rasilimali chungu nzima ikiwa ni pamoja na mbuga za wanyama za kuvutia sana, madini mbali mbali ikiwemo dhahabu, uranium, almasi, Tanzanite n.k. mafisadi ambao ni mabilionea wako radhi kumchangia Kikwete mabilioni ya shilingi katika kampeni zake wakati huo huo hawatoi michango yoyote kuboresha hali katika taasisi zetu mbali mbali ikiwemo mahospitali na mashule mbayo yana hali ya kusikitisha sana, halafu fisadi mmoja jana akaandika hapa kwamba Kikwete anashine! :confused: Kweli nchi yetu ni kichwa cha Mwendawazimu.
 
:( Mwacheni atoe machozi jamani, inasikitisha kwa kweli. Sipati picha jinsi hawa wamama wamekaa na vitoto vyao chini. Ila hapa bongo kuna tabaka kubwa sana kati ya tajiri na masikini.
 
Harudi mtu mpaka kieleweke. No dis intended, Tanzania home, lakini kama mtu huna channel home bora kuchakalika viwanja na kutuma vi remmitance labda watu watakuwa na afueni kuliko kurudi halafu ku face maisha ya vibatari na msongamano kama huu usawa huu.
 
Pamoja ni kuwa kweli serikali inatakiwa kulaumiwa...kuna tatizo pia la mentality kwa watanzania wengi.....

Hao hao wanaolazwa chini temeke...wakienda kwa waganga wa kienyeji wanalipa maelfu ya pesa.....pesa ambayo ingewatosha kwenda kwenye ki dispensary cha private wakajifungua kwa heshima kidogo.....

Kuna watu wanaamini kuwa wakiugua lazima waende hospitali
za serikali hata kama uwezo kidogo wa private wanao....

Wamama wa kiswahili utakuta wana mahereni ya dhahabu ya maelfu ya pesa lakini wanaenda kudhalilishwa temeka au mwananyamala hospital.
 
Pamoja ni kuwa kweli serikali inatakiwa kulaumiwa...kuna tatizo pia la mentality kwa watanzania wengi.....

Hao hao wanaolazwa chini temeke...wakienda kwa waganga wa kienyeji wanalipa maelfu ya pesa.....pesa ambayo ingewatosha kwenda kwenye ki dispensary cha private wakajifungua kwa heshima kidogo.....

Kuna watu wanaamini kuwa wakiugua lazima waende hospitali
za serikali hata kama uwezo kidogo wa private wanao....

Wamama wa kiswahili utakuta wana mahereni ya dhahabu ya maelfu ya pesa lakini wanaenda kudhalilishwa temeka au mwananyamala hospital.

Hili nalo neno, kweli watanzania tulio wengi tunapenda bure. Mtu ukiwa mjamzito unaweza kukusanya pesa yako kipindi mimba ina mwezi hadi inafika miezi 9 tayari una akiba ya kutosha ya kwenda private hospital.
 
hili nalo neno, kweli watanzania tulio wengi tunapenda bure. Mtu ukiwa mjamzito unaweza kukusanya pesa yako kipindi mimba ina mwezi hadi inafika miezi 9 tayari una akiba ya kutosha ya kwenda hospital private.

kwani kujifungua dispensary za private ni kiasi gani???
Hata elfu ishirini haifiki,lakini kwa waganga wa kienyeji
wanapeleka mbuzi......
 
kwani kujifungua dispensary za private ni kiasi gani???
Hata elfu ishirini haifiki,lakini kwa waganga wa kienyeji
wanapeleka mbuzi......

Inategemea na hospital yenyewe kuna zile za laki 3 na kuna nyingine 50 elfu tu.
 
Back
Top Bottom