Hivi ni kwanini bei ya superglue haijawahi kupanda ktk kipindi chote tangu enzi ya mkapa bado bei ni Tsh 500 wakati vitu vingine bei ziko angani kila siku au ndo uchumi wetu uko imara kwa kupitia hiyo gundi yaani hata chumvi imepanda bei kuna nini kwenye supagluu!!
hiyo bidhaa soko lake ni dogo watu hawaitumii sana kumbaka high demand high price, ila hii gundi ni noma ukiinasisha vidole viwili lazima kiwembe kitumike