englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Siku zote kinacholetwa sebuleni huwezi juu mapitio yake, iliobaki ule tu!
Inaonekana ni familia yenye furaha...lakini chumba kina siri nzito mno.
Isee huyu mm-baba kazaa dhahabu
their so beutful!!!!!!!!!!! baba mimi ni ni nini? dhahabu, almasi au tanzanite?
Mwanangu wewe ni zaidi ya dhahabu...wewe ni unique my baby....
thank u dady that why i love u so much
baba mimi napenda maua sana mwanao ngoja nikupe zawadi ya uaView attachment 141277
Naskia harufu nzuuuuuri mwanangu