Super tanker

Mkuu si jambo jema, yaani baada ya kusalimiana na leo hii ulinipiga picha?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ana chaga kubwa sana ukizishika na kuzipakia poda hachomoki
 
View attachment 368523heavy duty [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rafiki huu ni upuuzi wa hawa mabint zetu wanaiga hata visivyoigwa, wanavaa nguo zao chini ya kiuno matokeo yake wanakuwa shapeless, binti unakuta anahips za mgongo, za mbavu za nanihii basi shida tupu kwa kweli naumia sana, sasa jaribu kumuuliza jibu utakalopewa kesho hurudii tena kuuliza ati atavaaje kiunoni tumbo litakatika, mbona mama na Bibi zao hatukukatika matumbo?
 
Ukimwangalia ni kama ana matumbo matatu kushoto kulia na mbele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…