SUPER SUNDAY: LIVERPOOL FC: You'll Never Cry Alone!

Mkuu ila hawa jamaa wanayo nafasi ya kutwaa ndoo iwapo watashinda wakati huohuo mci akipigwa, je, unazungumziaje hapo?

Laiti kama ndoto tunazoota zingekua ndo ukweli wa maisha halisi sijui hii dunia ingekuaje!!!!! manake hata mimi leo ningekua billionea kama abrahimovich, LIVER hawezi kuchukua kombe leo hata kama wakimpa noti carrol eti aifunge man city!!!!!!!!!!!!!!!
 
mkuu hilo nalijua ila nilikua natoa uwezekano wa liva kubeba ndoo, na ndiyo nikaeleza mazingira hayo, otherwise msimu huu ni wa man c na ujao ni wa man u
 
1966
Eurovision - Austria
EuroCup - Real
La Liga - Atletico
Fulham relegated
LFC won league after coming 7th year before
World Cup - England
 
mkuu hilo nalijua ila nilikua natoa uwezekano wa liva kubeba ndoo, na ndiyo nikaeleza mazingira hayo, otherwise msimu huu ni wa man c na ujao ni wa man u

nimevumilia post zako hapa pamenigusa.....
Afu sijui kwa nini tu...
 
Mnasahau sana,kupata ubingwa kwetu ni ziada tu. Msimu wa kwanza kocha aliomba apewe kujenga timu,na msimu wa pili alisema ni wa kurudi top 4 na kucheza uefa champions.
Mashabiki wenzangu wa liverpool naomba tusijipe sana presha kwa maana kwamba kocha kafikia malengo yake.
Ila hata akivuka malengo si mbaya pia.
Tupate ama tuukose ubingwa,still tuna mengi ya kujuvunia msimu huu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mkuu ama kwa hakika wewe uko sawa sawia, haufungamani na itikadi za unazi. Ulichokisema ni sahihi kabisa kua mpaka sasa kocha katimiza malengo ya msimu huu na ikitokea mkatwaa ubingwa basi pia ni jambo jema. Lolote liwalo binafsi nampongeza Rogers kwa mafanikio.
 
Mkuu ila hawa jamaa wanayo nafasi ya kutwaa ndoo iwapo watashinda wakati huohuo mci akipigwa, je, unazungumziaje hapo?
Liverpool wakichukua ubingwa waambie mods wanipige ban ya wiki nzima.
 
Laiti kama ndoto tunazoota zingekua ndo ukweli wa maisha halisi sijui hii dunia ingekuaje!!!!! manake hata mimi leo ningekua billionea kama abrahimovich, LIVER hawezi kuchukua kombe leo hata kama wakimpa noti carrol eti aifunge man city!!!!!!!!!!!!!!!

mkuuu mbona naona kama hujielewi ?
kipikinacho shindikana kwa liver kuchukua kombe?
kama man city akafungwa na liver akashinda??

hapa ilituwepamoja kwa lugha Moja ni kuwa nivigum sana man city kupoteza game.hilo ndio jibu sahihi kama utaendelea kujipa ugum na upenzi wakinazi nakujifanya unajua sana kisa tu man city ni ngum kupoteza game ya Leo ?
sasa ngoja afungwa harafu liver ashinde uone nani atanyakua kombe
 
Mkubwa hapo kwenye nyekundu pananihusu sana na bado nina hasira sana na ile mipenati ya kupewa ya liva walipokuja geto kwetu, natamani leo liva wapigwe tu ili jeradi alie mimi nipate kufarijika.

Najua sana mkuu kwani hata mimi hilo ndio camp langu.
 
Kuna watu wana sifa na tutachekwa mwaka mwaka mzima iwapo liver watabeba

wengine tutakosa pakutokea mkuu. Bora tu LP afungwe, MC ashinde ingawa najua hata wakishinda wote still MC atakuwa bingwa.
 
Mnasahau sana,kupata ubingwa kwetu ni ziada tu. Msimu wa kwanza kocha aliomba apewe kujenga timu,na msimu wa pili alisema ni wa kurudi top 4 na kucheza uefa champions.
Mashabiki wenzangu wa liverpool naomba tusijipe sana presha kwa maana kwamba kocha kafikia malengo yake.
Ila hata akivuka malengo si mbaya pia.
Tupate ama tuukose ubingwa,still tuna mengi ya kujuvunia msimu huu.

"Nlikuwepo":bolt:

Mkuu umenena vyema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom