Lakini huwezi jua bana, unaweza kustukia dk ya 93 west ham wanafunga goli la ushindi halafu liva nao dk ya 94 wanapata bao la ushindi. Hahahaa ni mawazo tu.
Ila pia usishangae liver wakachezea
Sitashangaa na ndo nataka iwe hivyo maana jeradi atachonga sana tena simpendi baada ya kupewa mapenati ya kizushi kule Trafold
Kuna watu wana sifa na tutachekwa mwaka mwaka mzima iwapo liver watabeba
Pamoja sana mkuu. Omba sana LP asichukue ubingwa kwani sitakunywa maji aisee. Si unajua upinzani wa MU na LP ni wa karne moja na ushei?
CC: LiverpoolFC
Kolo Toure amemuomba mdogo wake Yaya Manguvu Toure akibeba ndoo ampelekee Gerald angalau alishike tu kwani hajawahi na hatawahi hadi atakapotundika daruga.
Kolo Toure amemuomba mdogo wake Yaya Manguvu Toure akibeba ndoo ampelekee Gerald angalau alishike tu kwani hajawahi na hatawahi hadi atakapotundika daruga.
mashabiki wote wa liver tusiwe na wasiwasi leo kuna miujiza itatokea
Kanusha hii kauli kauli yako.
Mkuu natamani iwe hivyo.
Kanusha hii kauli kauli yako.
Kolo Toure amemuomba mdogo wake Yaya Manguvu Toure akibeba ndoo ampelekee Gerald angalau alishike tu kwani hajawahi na hatawahi hadi atakapotundika daruga.