SUPER SUNDAY: LIVERPOOL FC: You'll Never Cry Alone!

SUPER SUNDAY: LIVERPOOL FC: You'll Never Cry Alone!

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,567
Kombe mtalisikia kwenye na kuliona kwenye tv zenyu tu leo. Limepigwa muhuri wa kukaa katika jiji la Manchester kwa miaka kadhaa.

Msimu huu 2013/2014 team zilizokaa juu ya msimamo wa ligi mara ifuatavyo:

ARS 128
CHL 64
LIVP 59
MAN C 14
MAN U 2.
 
Mkuu ila hawa jamaa wanayo nafasi ya kutwaa ndoo iwapo watashinda wakati huohuo mci akipigwa, je, unazungumziaje hapo?
 
Mechi za leo ni saa 11 jioni:

CARDIF V CHELSEA
FULHAM V CRYSTAL P.
HULL V EVERTON
LIVERPOOL V NEWCASTLE
MAN C V WEST HAM
NORWICH V ARSENAL
SOUTHAMPTON V MAN U
SUNDERLAND V SWANSEA
TOTTENHAM V ASTON VILLA
WEST BROM V STOKE.

Kazi inamalizika rasmi
 
Mechi za leo ni saa 11 jioni:

CARDIF V CHELSEA
FULHAM V CRYSTAL P.
HULL V EVERTON
LIVERPOOL V NEWCASTLE
MAN C V WEST HAM
NORWICH V ARSENAL
SOUTHAMPTON V MAN U
SUNDERLAND V SWANSEA
TOTTENHAM V ASTON VILLA
WEST BROM V STOKE.

Kazi inamalizika rasmi

Very thank you mkuu kwa updates
 
Acha kuota wewe

Kigogo umeamkaje bana? Mi nawafariji wapenzi wa jeradi ili wapate hata nguvu za kuleta updates humu leo itakapotimu saa kumi na moja kwa saa za Afrika ya Mashariki. Wewe hupendi wafarijike? Teh teh teh Kigogo
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaaaa.leo tuna majukumu mazito sana pale etihad....hawa na jeradi wao watasubiri sanaaaaa....
 
Last edited by a moderator:
Kombe mtalisikia kwenye na kuliona kwenye tv zenyu tu leo. Limepigwa muhuri wa kukaa katika jiji la Manchester kwa miaka kadhaa.

Msimu huu 2013/2014 team zilizokaa juu ya msimamo wa ligi mara ifuatavyo:

ARS 128
CHL 64
LIVP 59
MAN C 14
MAN U 2.

aseno kama gari bovu. Unaona taa za mjini gari haifiki. Poleni aseno
 
Mkuu ila hawa jamaa wanayo nafasi ya kutwaa ndoo iwapo watashinda wakati huohuo mci akipigwa, je, unazungumziaje hapo?

Najua sana mkuu ila nafasi ya LP ni ndogo sana. Man Utd tumefulia sana msimu huu ila LP asishinde!
 
mashabiki wote wa liver tusiwe na wasiwasi leo kuna miujiza itatokea

Hapana mkuu usiseme hivyo bali sema "miujiza inaweza kutokea", kwa nini? Mpira ni mchezo wa makosa na una matokeo moja kati ya kufungwa, kufunga au kutoka suluhu.
 
Very thank you mkuu kwa updates

Pamoja sana mkuu. Omba sana LP asichukue ubingwa kwani sitakunywa maji aisee. Si unajua upinzani wa MU na LP ni wa karne moja na ushei?

CC: LiverpoolFC
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!!
Mimi ni Liver damdamu ila leo hakuna miujiza, tulichemsha mechi ya Chelsea na C.Palace basi

Lakini huwezi jua bana, unaweza kustukia dk ya 93 west ham wanafunga goli la ushindi halafu liva nao dk ya 94 wanapata bao la ushindi. Hahahaa ni mawazo tu.
 
Pamoja sana mkuu. Omba sana LP asichukue ubingwa kwani sitakunywa maji aisee. Si unajua upinzani wa MU na LP ni wa karne moja na ushei?

CC: LiverpoolFC

Mkubwa hapo kwenye nyekundu pananihusu sana na bado nina hasira sana na ile mipenati ya kupewa ya liva walipokuja geto kwetu, natamani leo liva wapigwe tu ili jeradi alie mimi nipate kufarijika.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom