Nilipokuwa na umri wa balehe, kule milimani tulikuwa tunatengeneza makarai mabovu kwa ajili ya kuteleza milimani. Hii ilikuwa ni kuokoa kutoboka kwa kaptura zetu za shule. Loh, kumbe yapo mazuri hivi, afu huyu anayejaribisha mbona mkubwa sana:yawn:
Hehehe i have always classed him as a Mickey Mouse, But you came up with a cracker! hahah!, remember! he can also ride a bobsleigh!?? :wacko: Impressing!!