Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3

Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
974
Reaction score
564
Kwanza angalia hii snap

Hapa ni combine speed ya Airtel, Voda na Tigo

nouma.png

Sasa Introduce you the revolutionary software "Connectify Dispatch" Hii kitu ndo inafanya hio magic na pia kwa kitu ambacho seemed possible kuweza combine zaidi ya 10 internet connections kuwa one super fast speed connection.. kama unavyo ona hapo 10Mbps kwa iyo mitandao mitatu na hapo Tigo na Voda haipo at its max speed due to mchana huu.. so tukiangalia kwa max bila kuwa crowded total ni around 13Mbps

Pia unaweza kuconnect as much as connections uwezavyo, meaning unaweza weka more than 1 connection ya mtandao moja coz unaweza chomeka modem 10+(more usb port the better), Wifi na ethernet hii software inapiga mwendo ni wewe tu.

More information na videos hapa:

Connectify Dispatch - Connectify

Na haka kasoftware kametoka week iliopita the good news imeshakuwa cracked,mta kuwa mnaijua Connectify Hotspot.. sasa hii version zipo combined zote meaning baaada ya kucombine mitandao yote unaweza rusha iyo super fast internet connection through wifi( it gets better and better)

Nime attach the software na cracks zake pamoja na maelezo on how to install and crack.. please soma the Read ME file kabla haija install.
 
Attachments

Ngoja tujaribu alafu tucheki inakuaje..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mkuu e2themiza nikushukuru kwa hii kitu. like always tukikuona umeanzisha thread huwa tunategemea kuona maajabu au tusivyovoitegemea. Sasa niulize kido: kama nitatumia same mtandao let say tigo nikaweka moderm mbili itasaidia chochote au mpaka iwe mtandao mmoja??
 
Last edited by a moderator:
mkuu e2themiza nikushukuru kwa hii kitu. like always tukikuona umeanzisha thread huwa tunategemea kuona maajabu au tusivyovoitegemea. Sasa niulize kido: kama nitatumia same mtandao let say tigo nikaweka moderm mbili itasaidia chochote au mpaka iwe mitandao tofauti??
 
Last edited by a moderator:
mkuu e2themiza nikushukuru kwa hii kitu. like always tukikuona umeanzisha thread huwa tunategemea kuona maajabu au tusivyovoitegemea. Sasa niulize kido: kama nitatumia same mtandao let say tigo nikaweka moderm mbili itasaidia chochote au mpaka iwe mtandao mmoja??
Itasaidia mkuu kila modem na kila connection itaongezwa kwenye dispatch haitajalisha mtandao.. so kwa case yako utapata connection twice as fast
 
jamaa anaongea lugha ngumu na ya kitaalamu,mimi end user hata sijaambuliwa kitu hapo.
 
Inasaidia hapa inatakiwa. More usb port,modem kibao na eneo lenye 3g ya hiyo mitandao.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Itasaidia mkuu kila modem na kila connection itaongezwa kwenye dispatch haitajalisha mtandao.. so kwa case yako utapata connection twice as fast

sory mkuu so hapa tunaweka bandle kwenye modem zote au?
 
sory mkuu so hapa tunaweka bandle kwenye modem zote au?
Yah mkuu modem na connections zote utakazo zitaka ziwe combined lazima ziwe na bandwith.. pia Hii software ina options kama zifuatavyo..

kama una connection ambayo ni Unlimited Bundle na ikiwa inatumika muda wote sio tatizo, then una connection nyingine ambayo sio Unlimited but ina ka bundle la kusurf maybe na kudownload kidogo.. Iyo ya Unlimited Unaweka Primary na hio nyingine Back Up Meaning Iyo connection Ya Primary Ikizingua (network problem) hapo hapo back up ina anza kufanya kazi hii ni kutokukosesha internet na iyo Primary Network ikisharudi tayari inadetect na kuswitch back to Primary..

Pia ukiendelea kucheki settings vizuri unaweza kuset pia kila connection itumike bandwith kiasi gani n.k
 
poa mkuu nimekuelewa sasa..
 
kama wateja wao ndio hawa muda si muda development itasimama.
 
Back
Top Bottom