Super flashbacks

Kuna member wenzetu humu kwa umri wao wanaona kama ni vitu vya kale,vimechukuliwa kwenye museum...
 
Wahenga tukatane hapa naona kuna mkuu katukumbusha zilipendwa kipindi hicho niko kisiwani Mesome
 
Wana OSS baadae walikuja na mtindo wao wa 'ndekule',

Kweli kaka, Dukuduku ni mtindo wa Ndala Kasheba, walipokuja wakina Gurumo, Abel Bartazar, Bitchuka nk ndio Maalim Gurumo akaja na huo mtindo wa Ndekule, yeye Gurumo ndio alikiwa mtaalam wa kutoa mitindo yenye majina ya Kizaramu, kama. Msondo, Sikinde na hiyo Ndekule
 
Asante kwa dondoo kiongozi, maana ya kale dhahabu
 
Dah kweli Zamani
Hiyo Shilingi moja Pia ilikuwa inaitwa Chuma
Hiyo senti 20 ilikiwa inaitwa pia Mbuni
Hiyo senti hamsini ni Thumni

Umenikumbusha SENTANO HAICHENJIKI
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…