Lighondi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 581
- 184
Tz tumeendeleaaaa!!!
Yaani ni kama vile fastjet walivyokuwa wanatangaza route yao mpya ya Mbeya mwaka jana.
Sasa imeingia kwenye mabasi ya mikoani. Baada ya hapo itakuja route za daladala mijini. Mara tutasikia "route mpya ya daladala Tandika to vingunguti via yombo buza kwa Jimmy kilauri opening soon!!!!"