Hata hii sio mbaya hasa kiumeni hapa shushia na mtindiKama hii viazi choma hii ukipata na maziwa halisi ya ng'ombe.
Big up labda hizo fried utumie mafuta ya asili like mawese, samli, mafuta ya samaki hapo nitakula adi nilalepo kwenye meza. Big up kutufanya tuishi by abstract, let us visualize this or manifestation in our life
Hapa Sasa,,,Huning'oi Mezani Ng'ooo.....!!
Hizi mambo kwangu ndio napenda mno na kuku choma bila madikodiko labda ginger, garlic,pepper , lemon , Ila bana kwa kweli watu ni masikini UN wanaposema tuwaamini.Hata hii sio mbaya hasa kiumeni hapa shushia na mtindiView attachment 3367874
Oohoooo...!!!😋😋😋
Binadamu yoyote kila siku!!Mbona vitu vya kawaida sana. Sasa mayai na ndizi na boflo ndio ushua. Ni maisha ya mwanadamu yoyote kila siku .